Jengo laporomoka na kuua watu watatu

Jengo laporomoka na kuua watu watatu

Yaani huko ni mwendo wa kufukiana kwa vifusi.

Kama hii building ambayo iko under construction ndiyo inabomoka, basi ujue ile study ambayo ilifanywa na National Construction Authority (NCA) mwaka 2015 na kubaini ya kuwa 58% ya Nairobi building are not fit for human habitation, inabidi iwe reviewed. Kwa nini nasema hivyo. Nasema kwa sababu inamaana majengo mabovu yanaendelea kuongezeka kwa kasi kubwa tu. Ndani ya miaka miwili hii, hili siyo jengo la kwanza kuanguka likiwa bado kwenye hatua za ujenzi. Nina wasiwasi asilimia ya majengo mabovu ikapanda mpaka 65%.
Tanzania majengo ya Uswazi ni ya chini, Nairobi majengo ya uswazi (huku tunaita ghetto) ni ghorofa. Ghetto lazima utapata jengo moja mbili uchwara ambalo halikuzingatia kanuni za ujenzi. Ila nashangaa huko kwenu ambako ghorofa n chache na haziko uswazi bado mna miporomoko. Just because hatufuatilii habari zenu kama mnavyofuatilia yetu haimaanishi hatujui.

Halafu Kenya hutapata jengo limeanguka CBD ama mahali palipopangika. Hata skyscraper iliyopigwa bomu mwaka wa 1998 haikuanguka, bado ipo and it's one of the most beautiful buildings in the region.

The feel good stories. 🤣 😂 😆 naona umepaniki.
Njoo tuweke takwimu za miaka mitatu iliyopita tuone nani zaidi katika majengo mabovu.
 
Tanzania kawaida huwa hamna takwimu za vitu kama hizi. Mpate wap? Nchi za kidikteta kama North Korea zinajulikana kwa kuficha au kutokua na takwimu kila wakati. Alafu hizo takwimu yafaa ziwe against the percentage of storied buildings ambapo hapo Dar 90% of the buildings sio storied. Halafu nimekuuliza, nionyeshe wakati jengo liliporomoka Nairobi CBD. Mimi nimekuonyesha Dar CBD.
 
Inaonekana una dispute ile report ya NCA ambayo inasema majengo mabovu nairobi ni 58%.
Kama ni hivyo, bora nikuache. Kama experts report unaikataa, mimi ni nani mpaka unieleweee??
 
Ahahaaaaa Jengo lianguke TZ hata BBC Swahili wasi report halafu KE waireport habari.

Leo tunapiga kwenye palepale kwenye mshono tu.
 
Inaonekana una dispute ile report ya NCA ambayo inasema majengo mabovu nairobi ni 58%.
Kama ni hivyo, bora nikuache. Kama experts report unaikataa, mimi ni nani mpaka unieleweee??
Does Tanzania have NCA? Let's start from there.
 
Now show us your data. If you don't have it then it's a bogus institution.

Go n search whatever you wish to know. 😂 😆 🤣
Hilo jengo ulilolitoa ni la miaka karibia 10 iliyopita. Usipaniki bro. Data kwa majengo yaliyoanguka inaweza iakwa NIL.
 
Back
Top Bottom