eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
- Thread starter
- #21
Na kwenye ringi za kwenye nguzo wanafunga kamba za katani.
Mbona huku bongo unakuta fundi hajasoma kokote lakini anakutolea kitu quality...hawa wakunya wanakwama wapi?
Nimejenga kighorofa changu bongo. Aliyejenga hata physics hajui ni nini!! Lkn kitu kimenoga balaa.