Kama ilivyo kawaida, kwa mara nyingine tena jengo lamoromoka kenya na kuua watatu. Majirani, mtaacha mpaka wafe wangapi ndiyo mdhibiti majanga haya? Wanasema hilo jengo ni jipya kabisa. Tangu liishe halina hata mwezi mmoja. Swali langu, kwa mara nyingine, hali hii itasubiriwa mpaka iue wangapi ndiyo idhibitiwe?
Source: ITV habari saa 2 tarehe 31/08/2021
Teargas Tony254 Mkuyeee hapa mtuelezeee hizi ndio zile skyscraper zenyuuuu????Kama ilivyo kawaida, kwa mara nyingine tena jengo lamoromoka kenya na kuua watatu. Majirani, mtaacha mpaka wafe wangapi ndiyo mdhibiti majanga haya? Wanasema hilo jengo ni jipya kabisa. Tangu liishe halina hata mwezi mmoja. Swali langu, kwa mara nyingine, hali hii itasubiriwa mpaka iue wangapi ndiyo idhibitiwe?
Source: ITV habari saa 2 usiku tarehe 31/08/2021
Wacha nimchomoe, sipendi vita kama alivyopewa GwajiboyNdinda siyo mmoja wao.
🤣🤣
Inasemekana ma engineer wao hawakusoma physics.
🤣🤣🤣
Ndiyo matokeo yake haya.
Matatizo ya kusoma elimu ya secondary kuishia form fourInasemekana ma engineer wao hawakusoma physics.
🤣🤣🤣
Ndiyo matokeo yake haya.
Na kwenye ringi za kwenye nguzo wanafunga kamba za katani.Sidhani kama ni mianzi. Itakuwa mabua. Hili jengo la leo, halina hata mwezi.