Jengo Maarufu Zanzibar kwa utalii, Beit Al Ajaib laporomoka

Unanichekesha wewe, eti kutoka Ardhi University. Haha. Wataalam waliochomekwa chomekwa kutokana na kuibiwa nasafi za wengine na kuwadhulumu. Hakuna kitu watanzania tunaweza zaidi ya majungu na roho mbaya.
Hahaha nakumbuka niliwaonaga wajerumani wao ndy walikuwa wanafanya restoration hko

Ova
 
Taarifa hizi kupitia kituo cha Luninga zinasema jumba hilo limeporoomokka hivi punde na kuna watu wamefunikwa.

Naomba mliopo jirani na Forodhani sogeeni hapo mtupatie nini chanzo cha hii ajali. Ingawa vyanzo vinadai jumba hilo lipo katika ukarabati

taarifa
 
View attachment 1658926 taarifaView attachment 1658927
 
Maalim Seif, tumeona ni vizuri tupambane tukiwa ndani.
 
Poleni sana ndugu zetu huko !! Wekeni simu pembeni mkaokoe waliokuwemo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…