si ungeleta na picha mzeeOpened in 2019 this is currently the tallest structure in Tanzania located along Sam Njuoma road in Dar es Salaam the building was constructed by Estim a Tanzanian company...
Kwaiyo huu Uzi ni kwaajili ya watu wa Dar tu,na je nyie watu wa Dar mnajua Kila jengo?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]embu situbanie tupe pichaHaupo Dar? Uko wapi? Lipo pale njiani barabara ya Sam Nujoma usawa wa maeneo ya Mlimani City likiwa limesimama peke yake kabisa
Bongo hatuna hata jengo la ghorofa 50?
Ni zuri kwa kweli.Nhif wapo humo, hili jengo architecture alikaa chini akatulia haswa
Nililiona hili, wakazane kufanya marketing tu new companies zinafunguliwa Kila sikuShida floor nyingi zipo wazi...Hiyo hasara sijui PSSSF wanafanyaje?
Ni ‘Architect’ , sio ‘Architecture’.Nhif wapo humo, hili jengo architecture alikaa chini akatulia haswa
Sawa mwalimu KashashaNi ‘Architect’ , sio ‘Architecture’.
Ni kama usema ‘information’ badala ya ‘informant’
Yeah....Nililiona hili, wakazane kufanya marketing tu new companies zinafunguliwa Kila siku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa mwalimu Kashasha
Lipo empty tuPamoja na kupangisha hadi waganga wa kienyeji kina Dr rahabu lakini bado lipo tupu wapangaji hakuna
Acha dhihakaPamoja na kupangisha hadi waganga wa kienyeji kina Dr rahabu lakini bado lipo tupu wapangaji hakuna
Huo ndio ukweli hata mkinuna. Kwani Dr wa mitishamba ana tofauti gani na mganga wa kienyeji hata Dr mwaka si wa kienyeji na yupo ubungo plazaAcha dhihaka