Vertas Kimaro
Member
- Jul 22, 2022
- 16
- 20
Na sijui hawa akina NSSF na akina PSSF huwa wanakwama wapi kwenye kupromote majengo yao angali ni mazurii tu...Moshi kuna jengo la NSSF lina flow 9 nadhani na ni miongoni mwa majengo mazuri na ya kuvutia sana ila sasa flow 5 zote kama sio 4 za juu zipo emptyNi zuri kwa kweli.
Shida floor nyingi zipo wazi...Hiyo hasara sijui PSSSF wanafanyaje.