choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Sio hili, jengo refu Tz ni lile la Bandari, likifuatiwa na yale majengo pacha ya psssf , yale ukiwa sehemu nyingi Dar lazima uyaone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio hili, jengo refu Tz ni lile la Bandari, likifuatiwa na yale majengo pacha ya psssf , yale ukiwa sehemu nyingi Dar lazima uyaone
Ivi lipowapi hili jengo,ni lilepale moroko junctions, ama ni lile la Mawasiliano ubungo.Nililiona hili, wakazane kufanya marketing tu new companies zinafunguliwa Kila siku
Mawasiliano na ubungoIvi lipowapi hili jengo,ni lilepale moroko junctions, ama ni lile la Mawasiliano ubungo.
Ndio ujue malofa ni wengi hapa mtaani...Pamoja na kupangisha hadi waganga wa kienyeji kina Dr rahabu lakini bado lipo tupu wapangaji hakuna
I Have my hands on that tower, back in 1999... as Quantity Surveyor...The Tanzania Ports Authority Tower in Dar es salaam city is the 1st tallest building in the country! also ranked as number 10 of the tallest building in the African continent! The building height is 162 meters.
Jengo yalipo makao makuu ya bandari, google imaonyesha kuwa ni hilo. Still, hata kama makao makuu ya bandari hayako kwenye jrngo hilo, bado jengo refu kuliko yote Tanzania ni hiloSio hili, jengo refu Tz ni lile la Bandari, likifuatiwa na yale majengo pacha ya psssf , yale ukiwa sehemu nyingi Dar lazima uyaone
Mhhh 1999?!!!I Have my hands on that tower, back in 1999... as Quantity Surveyor...
Kweli upo vzrNi ‘Architect’ , sio ‘Architecture’.
Ni kama usema ‘information’ badala ya ‘informant’,
Hence ‘Information’ is to ‘informant’
As
‘Architecture’ is to ‘Architect’
Mzizima tower la NSSFCha mtoto hilo labda Kuna moja linajengwa usawa wa posta hii ile barabara ya azikiwe fanya kama unakuja kweny bank ya India huku ,Kuna jengo linajengwa aisee ni refu kama litakuwa fupi basi hayajaachana sana sawa wako kweny usawa wa kuremba parking ni kubwa kwenda juu halijakamilika bado bank ya India mitaa ya posta kama yanaangaliana.
Ni Mali ya NSSF Mkuu!!Cha mtoto hilo labda Kuna moja linajengwa usawa wa posta hii ile barabara ya azikiwe fanya kama unakuja kweny bank ya India huku ,Kuna jengo linajengwa aisee ni refu kama litakuwa fupi basi hayajaachana sana sawa wako kweny usawa wa kuremba parking ni kubwa kwenda juu halijakamilika bado bank ya India mitaa ya posta kama yanaangaliana.
Aisee ni refu liko poa litakuja kuwa empty kwa vile dar watu wanahama sanaMzizima tower la NSSF
Zuri sana ila bahati mbaya litakuwa empty maana ni kubwa sanaNi Mali ya NSSF Mkuu!!
Pale karibu na Holiday innCha mtoto hilo labda Kuna moja linajengwa usawa wa posta hii ile barabara ya azikiwe fanya kama unakuja kweny bank ya India huku ,Kuna jengo linajengwa aisee ni refu kama litakuwa fupi basi hayajaachana sana sawa wako kweny usawa wa kuremba parking ni kubwa kwenda juu halijakamilika bado bank ya India mitaa ya posta kama yanaangaliana.
Zile floor kibao ni parking tu yaani bonge la jengoPale karibu na Holiday inn
Mitaa kati ya azam round about na kule Holiday inn
Parking yao naona kama ina floor 7 sijui 10 tobaaa
Kama ndo hilo nilitaka niliseme hata mimi kwamba naona kama lile refu sana
Hayo ndio majengo marefu zaidi Tz , la bandari likifuatiwa na hayo pacha, sio lile la mawasiliano pale la nssfJengo yalipo makao makuu ya bandari, google imaonyesha kuwa ni hilo. Still, hata kama makao makuu ya bandari hayako kwenye jrngo hilo, bado jengo refu kuliko yote Tanzania ni hilo