Jengo refu kuliko yote Tanzania hadi mwaka 2022

Haupo Dar? Uko wapi? Lipo pale njiani barabara ya Sam Nujoma usawa wa maeneo ya Mlimani City likiwa limesimama peke yake kabisa
Weka picha wewee. Siyo unasimuliwa kwenye vijiwe vyenu huko kijijini halafu unakuja kutujuza jamvin
 
Bongo hatuna hata jengo la ghorofa 50?
Sio Bongo tu sema Africa jengo refu la floor 50 lililoshikilia record kwa miongo kadhaa Africa ni Sandton tower Johanesburg, majengo marefu Africa yalikuwa hayazidi floor 32, majengo ya floor 50 ya hivi karibuni ni Iconic tower Egypt ambalo bado halijakamilika, Britam tower Nairobi ambalo limekamilika hivi juzi tu, yapo na mengine ila sina uhakika nayo, kwa hiyo kwa hayo tuliyonayo sisi ya 35+ na 40 tupo far ahead ya nchi nyingi tu Africa.
 
Watu ndio hufuata majengo, majengo hayafuati watu, Mlimani city nani alitegemea ingekuwa hivi ilivyo issue ni marketing tu hayo majengo soon yatakuwa full mpaka utashangaa.
Hivi Pale kodi ni shingapi
 
Stupid picha iko wapi
 
Hilo ghorofa ni kwa ajili ya ofisi tu, waweke na makazi watu wapange waishi.

Au haiwezekani ofisi na makazi kua pamoja??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…