Jengo refu kuliko yote Tanzania hadi mwaka 2022

Ni zuri kwa kweli.
Shida floor nyingi zipo wazi...Hiyo hasara sijui PSSSF wanafanyaje.
Na sijui hawa akina NSSF na akina PSSF huwa wanakwama wapi kwenye kupromote majengo yao angali ni mazurii tu...Moshi kuna jengo la NSSF lina flow 9 nadhani na ni miongoni mwa majengo mazuri na ya kuvutia sana ila sasa flow 5 zote kama sio 4 za juu zipo empty
 
Hayo ndio majengo marefu zaidi Tz , la bandari likifuatiwa na hayo pacha, sio lile la mawasiliano pale la nssfView attachment 2428474

Tanzania Ports Authority Headquarters

Buildings
RANKNameHeight
1Tanzania Ports Authority Headquarters157 m / 515 ft
2PSPF Commercial Tower A152.7 m / 501 ft
3PSPF Commercial Tower B152.7 m / 501 ft
4Mwalimu Nyerere Foundation Square145 m / 476 ft

Sources: tallest building in tanzania - Sök på Google

 
Weka picha. Nyau wewew
 
Mabonde ya ufa hayahitaji ghorofa refu,talk of Mwanza,Mbeya,Arusha na Dsm kote huko kuna element za Rift valley
 
Ni zuri kwa kweli.
Shida floor nyingi zipo wazi...Hiyo hasara sijui PSSSF wanafanyaje.
Gharama za kupanga ni kubwa ila kampuni za kutosha bongo tatizo gharama ni kubwa sana kupanga kwenye hizi gharofa nzurinzuri
 
Huo ndio ukweli hata mkinuna. Kwani Dr wa mitishamba ana tofauti gani na mganga wa kienyeji hata Dr mwaka si wa kienyeji na yupo ubungo plaza
Tofauti ni dhana za kazi boss
Hawa wakina rahabu na kina mwaka mdomo na janjajanja ndio vinawabeba.

Wale wengine wana mabalaa si mchezooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…