Lipa kwanza kodi ya nyumba uje kubishana hapa kwa hoja weka tofauti kati ya Free to Air channel na Subscriber channel ambazo unalipia Heavy Load (Mzigo Mzito) Clouds Plus ni subscriber chanel inayokulazimu ulipie ili upate huduma.
Education is the progressive discovery of one's ignorance. Embu tambua kuwa wewe ni mjinga unahitaji kujua hilo ili ukomboke kifikra. Rudi shule ndo uje kubishana na mm young man!