Tetesi: Jerry Muro na William Malecela ndani ya mpango wa hatari wa kuidhibiti timu ya Fiesta

Kwani hayo si mapambano ya redio hizo,sisi hatuhitaji kujua.
 
Makonda anatakiwa ajue kina ruge na kusaga ni watoto wa mjini hawezi shindan nao akashinda just a matter of time , siku wakimpatia target yake atajuta ,

Mda huu atawasumbua tu ila mda ukifika atajuta watoto wa mjini huw hawashindwi.

Kwa hiyo hata lile tukio la kuvamiwa clouds watoto wa mjini walilipanga eeh!
 
Duh!huyu konda hujui haya madaraka yanamwisho acha mabifu ya sio na tija kwa jamii Husika Luge pambana mpaka mwisho siku zote bedui ni bedui tu
 
Kiki za kujaza watu fiesta.... Na kile kibwagizo kwenye "jingo" yenu ya fiesta si mlikiwaka makusudically ili kuwafurahisha? Yes, kale ka yowe cha mwishoni!
 
Kama ni kweli Bashite ni zero nambari moja, kiuhalisia hao Clouds media hata wakiyumba vipi hawatakaa waanguke. Imewachukua miaka kuwa hapo walipo na sasa wameenda international, ni suala la upepo yaani inaweza kuwa just a bad day and not a bad life.
 
Mtajua wenyewe bwana..na mambo yenu..its none of my business! Ngoja nipite hivi....
 
Clouds hawaku calculate vizuri vita vyao....kwa nchi zetu hizi ili ustawi vizuri unahitaji "a good chemistry" na viongozi wa kisiasa. Kila jambo na majira yake....haya si majira yao wakubali hilo na kulay low kwasasa
 
This situations are so fraudulent. Who is running around with pictures of Fiesta to sign? Just too much faking...
 
Kwa hiyo wamekurupuka leo kwamba wanahitaji kutoa huo msaada, yaani Jamaa anaonyesha waziwazi jinsi alivyo dhaifu wa mawazo, yaani amejawa na mabifu na wivu usiokuwa na maana pamoja na kubebwa kote, yaani huyu mtu safari yake kisiasa ni fupi sana, yaani jamaa akiondoka madarakani na yeye kushnei, na hatakuwa salama kwa yote aliyoyatenda kwa uonevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…