Tetesi: Jerry Muro na William Malecela ndani ya mpango wa hatari wa kuidhibiti timu ya Fiesta

Tetesi: Jerry Muro na William Malecela ndani ya mpango wa hatari wa kuidhibiti timu ya Fiesta

9.jpg
 
Ila Kuna mmoja wao mwisho wake mbaya sana
Huyo financier pia ipo siku atajuta
 
Mie naomba wakishaweka hali shwari kule waje na hapa ili kuwashughulikia wahuni na mafisadi wote nchini ili watuondolee hii hofu na taharuki kubwa.

"We wish to make it abundantly clear that this is not a military takeover," he said. "We are only targeting criminals around [Mugabe] who are committing crimes that are causing social and economic suffering in the country in order to bring them to justice."
Mkuu hilo walishalishindwa...! bashite ni bata batani!
 
Hayo mabishi yao hayana tija kwetu wala kutupunguzia machungu ya kusoma namba, me nilidhani ni mambo makubwa ya kitaifa.
 
a673ebf4086c3ba2c259951c6d8b0204.jpg


Siku ya tukio la Lissu kushambuliwa kwa SMG hawa watu watatu walikuwa wapi???
 
Busara ni kusogeza mbele kimoja tumechoka na kelele zenu mbona hamkui jamani.
 
Ndio inatakiwa hiyo,walizoea vya kunyonga sana
 
Idadi ya walijitokeza kuhitaji msaada wa miguu bandia ofisi ya mkuu wa mkoa Dar ni zaidi ya wanainchi 1,300

Fiesta ni starehe tu kwa vijana na biashara kwa waandaaji.

Kila mmoja awajibike sehemu yake
 
Kila mmoja apambane na hali yake maana hakuna namna sasa
 
Kuna mpango mkakati ulioundwa na Team ya Makonda kwa ajili ya kuidhibiti timu ya Fiesta katika mkoa wa Dar es salaam. Makonda na wenzake wana mkakati juu ya mpango wa kuharibu show ya Fiesta Kwa hali na mali siku ya Tarehe 25-11-2017.

Wanamkakati wa Mtandao huo wakiongozwa na Jerry Muro pamoja William Malecela (Lemutuz) wametajwa kuunda kikosi cha mipango wa kuvuruga show ya Fiesta. Habari hizi zimekuja baada ya juzi kugomea mahojiano ya kushirikiana na waandaji wa Fiesta.

Leo asubuhi majira ya saa tano William Malecela (Lemutuz) alionekana katika vituo tofauti vya Bodaboda cha Mbuyuni, Salasala Manzese Darajani pamoja na Kigogo alionekana akizungumza na baadhi ya vijana wa Bodaboda ambao amewahaidi kuwapa Mafuta Kwa ajili ya kusindikiza msafara wa mkuu wa mkoa akienda katika show aliyoianda siku ya Jumamosi na kituo cha redio cha EFM.

Lengo la kuandaa msafara ni kutaka kuonyesha kuwa ni mtu anayependwa sana na kituo cha EFM kinakubalika kuliko kituo cha Clouds Fm.

Wawili hawa (Lemutuz na Jerry Muro) wanatajwa kuwa ni wanamkakati ambao walipendekeza na kushauri mpango wa kuharibu Fiesta pamoja na mzito huyo.

Zoezi lingine lililopangwa katika siku hiyo ya Jumamosi na Timu hiyo ya Waovu ni kuwaleta vilema waliokosa miguu kuwa wanafunzi wenye ulemavu na wapatiwe bure.

Majina yao ni
Zainab Hamissi
Sultan Gonga
Bahati Ally
Advera Shoo
Juma Ally
Aisha Mkoba
Mwanamvua Mkambara
Shukuru kuyoha
Mwidadi Mapunga


Jambo hilo limeratibiwa pia na baadhi ya waandaji wa kipindi cha Joto la Asubuhi kupitia kwa ndugu Abel Onesmo zoezi hili uwepo wake ni wa Siri sana kutoka kwa kiongozi huyo mkuu wa mkoa.

Majina ya wanamkakati wengine ambao walikutana katika kikao cha Jana usiku Masaki Kwa mkuu wa Mko ni hawa wafuatao;

1. Omar Ali Shehe (TRA)
2. ACP Emmanuel kilerwa
3. Abdilahi Jihad (NON)
4. Said Ally Mbarouk (NON)
5. Jeniffer Mpangala (TRA)

Kikao kilichofanyika jana usiku Nyumbani Kwa Mhe. Walijadili kuhusu ukaguzi wa Vifaa vitakavyotumika katika Fiesta na matumizi ya risiti za EFD. Jambo kingine walijadili kuhusu kipindi cha Joto la Asubuhi ambapo kitaruka kesho tarehe 17-11-2017.

Makonda atakuwa anahojiwa kuelezea habari za mabahari na show ya wanafunzi ya bure waliyoianda siku ya Jumamosi kingine ni kuhusu zoezi la ugawaji miguu mabandia.

Kuna hatihati ya mtangazaji wa EFM kusimamishwa kutokana na kupingana na ujio wa Mkuu wa Mkoa katika kipindi hicho.

Siri imevuja...!
HUWEZI KUSHINDA VITA UKIWA NA NJAA.

Makonda Anaendeleza Uhuni kwa Upumbavu wa Chadema, I wish I was the guy with final say in Chadema. Kitendo cha kupotea Ben Saanane by the way mdogo wangu! Na kupigwa Risasi Lissu kiliwajastify wamalize huu uhuni once and for all! But Wako kimya. Hii itafanya Mhuni aone uhuni Unalipa.
 
Back
Top Bottom