Tetesi: Jerry Muro na William Malecela ndani ya mpango wa hatari wa kuidhibiti timu ya Fiesta

Tetesi: Jerry Muro na William Malecela ndani ya mpango wa hatari wa kuidhibiti timu ya Fiesta

Wewe katwa miguu halafu siku ya kupewa tukuambie tuna kitchen party. Acha uzuzu
Acha upuuzi Alikuwa akingoja nini? Kwanini Afanye siku ambayo in tukio lingine? Makonda angejali wasio na Miguu angesimamia Kumpiga Lissu risasi "Miguuni" Usinitie Kinyaa!
 
Vijana wa Dar wanavyoipenda Fiesta huyo bashite andae tu FFU wa kuzuia Fiesta lkn hana ubavu wa kuandaa show ili aipoteze show ya Fiesta SHWAINI...vijana wanavyodunduliza huku kwa ajili ya Fiesta ukawapeleke kwa....
 
Fiesta ni mpango wa kuharibu vijana wetu kwa uchu wa watu wachache kupata fedha.
Kwa nini wasifanye matamasha ya kuhamasisha vijana kusoma na kuwa na tabia njema kwa kulinda tamaduni nzuri za kiafrika kama kama kuwaheshimu wakubwa n.k.
Fiesta ni kati ya matamasha yaliyojaa uovu kwa vijana wetu.
Sijui hata lengo lake lilikua ni nini!?
Ni aina ya ngoma za kizungu.
Bora wangeendeleza ngoma za kizaramo kuliko hizi za kuiga wazungu .

Kama Kuna mpango wa kuizuia basi naunga mkono .
Hongera sana aliyebuni njama hizo.

Vijana hawalali wala kusona kisa wanafanya mazoezi ya kujiandaa na Fiesta.
Ujinga mtupu.
Ndio maana matokeo ya shule za Dar es salaam yanakua mabovu wakati rasilimali zote za kielimu zinapatikana hapo.
 
a673ebf4086c3ba2c259951c6d8b0204.jpg


Siku ya tukio la Lissu kushambuliwa kwa SMG hawa watu watatu walikuwa wapi???

Yaani picha hii naipenda wametokelezea haswa..
 
Kuna mpango mkakati ulioundwa na Team ya Makonda kwa ajili ya kuidhibiti timu ya Fiesta katika mkoa wa Dar es salaam. Makonda na wenzake wana mkakati juu ya mpango wa kuharibu show ya Fiesta Kwa hali na mali siku ya Tarehe 25-11-2017.

Wanamkakati wa Mtandao huo wakiongozwa na Jerry Muro pamoja William Malecela (Lemutuz) wametajwa kuunda kikosi cha mipango wa kuvuruga show ya Fiesta. Habari hizi zimekuja baada ya juzi kugomea mahojiano ya kushirikiana na waandaji wa Fiesta.

Leo asubuhi majira ya saa tano William Malecela (Lemutuz) alionekana katika vituo tofauti vya Bodaboda cha Mbuyuni, Salasala Manzese Darajani pamoja na Kigogo alionekana akizungumza na baadhi ya vijana wa Bodaboda ambao amewahaidi kuwapa Mafuta Kwa ajili ya kusindikiza msafara wa mkuu wa mkoa akienda katika show aliyoianda siku ya Jumamosi na kituo cha redio cha EFM.

Lengo la kuandaa msafara ni kutaka kuonyesha kuwa ni mtu anayependwa sana na kituo cha EFM kinakubalika kuliko kituo cha Clouds Fm.

Wawili hawa (Lemutuz na Jerry Muro) wanatajwa kuwa ni wanamkakati ambao walipendekeza na kushauri mpango wa kuharibu Fiesta pamoja na mzito huyo.

Zoezi lingine lililopangwa katika siku hiyo ya Jumamosi na Timu hiyo ya Waovu ni kuwaleta vilema waliokosa miguu kuwa wanafunzi wenye ulemavu na wapatiwe bure.

Majina yao ni
Zainab Hamissi
Sultan Gonga
Bahati Ally
Advera Shoo
Juma Ally
Aisha Mkoba
Mwanamvua Mkambara
Shukuru kuyoha
Mwidadi Mapunga


Jambo hilo limeratibiwa pia na baadhi ya waandaji wa kipindi cha Joto la Asubuhi kupitia kwa ndugu Abel Onesmo zoezi hili uwepo wake ni wa Siri sana kutoka kwa kiongozi huyo mkuu wa mkoa.

Majina ya wanamkakati wengine ambao walikutana katika kikao cha Jana usiku Masaki Kwa mkuu wa Mko ni hawa wafuatao;

1. Omar Ali Shehe (TRA)
2. ACP Emmanuel kilerwa
3. Abdilahi Jihad (NON)
4. Said Ally Mbarouk (NON)
5. Jeniffer Mpangala (TRA)

Kikao kilichofanyika jana usiku Nyumbani Kwa Mhe. Walijadili kuhusu ukaguzi wa Vifaa vitakavyotumika katika Fiesta na matumizi ya risiti za EFD. Jambo kingine walijadili kuhusu kipindi cha Joto la Asubuhi ambapo kitaruka kesho tarehe 17-11-2017.

Makonda atakuwa anahojiwa kuelezea habari za mabahari na show ya wanafunzi ya bure waliyoianda siku ya Jumamosi kingine ni kuhusu zoezi la ugawaji miguu mabandia.

Kuna hatihati ya mtangazaji wa EFM kusimamishwa kutokana na kupingana na ujio wa Mkuu wa Mkoa katika kipindi hicho.

Siri imevuja...!
HUWEZI KUSHINDA VITA UKIWA NA NJAA.
Kijana endelea kufanya kazi za kumhabudia ruge huu upumbavu ruge aliokutuma mkaukumbatie huko classs ,,kwan lazma watu washiriki fiesta ,je fiesta inatulipa nini si bora miguh ya bure vilema wengi watatembea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabla haujaleta hapa upupu wako utizame mara 10000 ,mjinga usiyependa kutoa ujinga aliyekutuma muambie kafelii
 
"XxL zima"-Nash mc

"Ruge manager usiwe kinega"-Nikki Mbishi.

"Kama noma na Iwe noma"- kaka man.

Let a strong man pass.
Mwenye nguvu mpishe.
 
Kipindi mlikuwa pamoja mlikuwa hamsemi haya yote na mikakati miovu mliyopanga,sasa mnataka huruma yetu.Mpambane huko huko.

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Hivi redio zetu za bongo mtangazaji wa kipindi ananguvu hivyo ya kumgomea bosi wake nani hasije kwenye kipindi?
Hii habari hata kama ya kweli itakuwa imeongezewa vitu vya uongo ili kuipa uzito.
 
Acha upuuzi Alikuwa akingoja nini? Kwanini Afanye siku ambayo in tukio lingine? Makonda angejali wasio na Miguu angesimamia Kumpiga Lissu risasi "Miguuni" Usinitie Kinyaa!
Utabaki na ujinga huo kichwani ukijifanya unajua sana mambo na unahuruma sana.
Kila mtu afanye kazi yake na kuna siku inakuja IDD na Pasaka zitakuwa siku moja.
 
Utabaki na ujinga huo kichwani ukijifanya unajua sana mambo na unahuruma sana.
Kila mtu afanye kazi yake na kuna siku inakuja IDD na Pasaka zitakuwa siku moja.
Keep on championing The Obvious criminals, it will one day catch-up with you!
 
Hawa jamaa ni vijana badala ya kuwa kitu kimoja, wanashindana,
Kibaya zaidi,wote ni vijana wa mzee..!
 
Nyie wapumbavu mnatuchosha sana na habari zenu hizi za fitna fitna, upuuzi mwingi tu wanaume wengi mtaishia kuolewa. We mleta mada soma upumbavu ulioandika hapa kisha jichunguze matako km yako salama.
Pumbavu sanaa
 
CDM walipotaka kufanya maandamano ya UKUTA wakaambiwa hiyo siku jeshi litakuwa na kampeni ya usafi.
 
Acha upuuzi Alikuwa akingoja nini? Kwanini Afanye siku ambayo in tukio lingine? Makonda angejali wasio na Miguu angesimamia Kumpiga Lissu risasi "Miguuni" Usinitie Kinyaa!

Unajisikia raha kuandika hivi kwa ID.. eeeeh kama mbabe karushe post kwingine watu wakusome na jina lako.. unajua unaandika uongo mtupu.

Update

Huyu ndio yupo majuu.. rudi basi nchini uyaongelee mchana kweupe na yale mengine mengiiii
 
Back
Top Bottom