Tetesi: Jerry Muro na William Malecela ndani ya mpango wa hatari wa kuidhibiti timu ya Fiesta

Tetesi: Jerry Muro na William Malecela ndani ya mpango wa hatari wa kuidhibiti timu ya Fiesta

Mimi nafikiri mleta mada anapima upepo kiuchochezi ili kutaka RC ajibu uongo wake. Vizuri amekaa kimya na hata watajwa pia. Mleta mada unataka kuwapa joto Clouds wewe makusudi ili waongee sanaaa kama Ruge juzi.. Natumaini watayadharau uliyoandika..

RC anapenda wananchi wake na burudani waipate salama pia. Muhimu waandaaji wa events jijini Dar wafate sheria, waombe vibali, waombe usimamizi wa usalama n.k. kuna watu watadanya biashara siku hiyo pia kupata kipato.. hao wenye biashara ndogo ndogo hivyo muache uchochezi mbaya

Events za misaada hiyo hajawahi kuzifanta.. usiku jijini hapa. Na umeandika yote hata picha or kideo cha kuibia hakuna aliyedakua...

Burudani oyeeeee
 
Kuna mpango mkakati ulioundwa na Team ya Makonda kwa ajili ya kuidhibiti timu ya Fiesta katika mkoa wa Dar es salaam. Makonda na wenzake wana mkakati juu ya mpango wa kuharibu show ya Fiesta Kwa hali na mali siku ya Tarehe 25-11-2017.

Wanamkakati wa Mtandao huo wakiongozwa na Jerry Muro pamoja William Malecela (Lemutuz) wametajwa kuunda kikosi cha mipango wa kuvuruga show ya Fiesta. Habari hizi zimekuja baada ya juzi kugomea mahojiano ya kushirikiana na waandaji wa Fiesta.

Leo asubuhi majira ya saa tano William Malecela (Lemutuz) alionekana katika vituo tofauti vya Bodaboda cha Mbuyuni, Salasala Manzese Darajani pamoja na Kigogo alionekana akizungumza na baadhi ya vijana wa Bodaboda ambao amewahaidi kuwapa Mafuta Kwa ajili ya kusindikiza msafara wa mkuu wa mkoa akienda katika show aliyoianda siku ya Jumamosi na kituo cha redio cha EFM.

Lengo la kuandaa msafara ni kutaka kuonyesha kuwa ni mtu anayependwa sana na kituo cha EFM kinakubalika kuliko kituo cha Clouds Fm.

Wawili hawa (Lemutuz na Jerry Muro) wanatajwa kuwa ni wanamkakati ambao walipendekeza na kushauri mpango wa kuharibu Fiesta pamoja na mzito huyo.

Zoezi lingine lililopangwa katika siku hiyo ya Jumamosi na Timu hiyo ya Waovu ni kuwaleta vilema waliokosa miguu kuwa wanafunzi wenye ulemavu na wapatiwe bure.

Majina yao ni
Zainab Hamissi
Sultan Gonga
Bahati Ally
Advera Shoo
Juma Ally
Aisha Mkoba
Mwanamvua Mkambara
Shukuru kuyoha
Mwidadi Mapunga


Jambo hilo limeratibiwa pia na baadhi ya waandaji wa kipindi cha Joto la Asubuhi kupitia kwa ndugu Abel Onesmo zoezi hili uwepo wake ni wa Siri sana kutoka kwa kiongozi huyo mkuu wa mkoa.

Majina ya wanamkakati wengine ambao walikutana katika kikao cha Jana usiku Masaki Kwa mkuu wa Mko ni hawa wafuatao;

1. Omar Ali Shehe (TRA)
2. ACP Emmanuel kilerwa
3. Abdilahi Jihad (NON)
4. Said Ally Mbarouk (NON)
5. Jeniffer Mpangala (TRA)

Kikao kilichofanyika jana usiku Nyumbani Kwa Mhe. Walijadili kuhusu ukaguzi wa Vifaa vitakavyotumika katika Fiesta na matumizi ya risiti za EFD. Jambo kingine walijadili kuhusu kipindi cha Joto la Asubuhi ambapo kitaruka kesho tarehe 17-11-2017.

Makonda atakuwa anahojiwa kuelezea habari za mabahari na show ya wanafunzi ya bure waliyoianda siku ya Jumamosi kingine ni kuhusu zoezi la ugawaji miguu mabandia.

Kuna hatihati ya mtangazaji wa EFM kusimamishwa kutokana na kupingana na ujio wa Mkuu wa Mkoa katika kipindi hicho.

Siri imevuja...!
HUWEZI KUSHINDA VITA UKIWA NA NJAA.
Hivi mnafahamu hawa wavulana watatu ni wapuu.zi sana
 
MIAKA KADHAA NYUMA CLOUDS WALIKUA JEURI SANA SANA SANA
WAULIZE
SUGU
JIDE

MNAKUMBUKA JIDE ALIANZISHA SHOW MOJA CLOUDS WAKAPANGA YAO SIKU HIYOHIYO

WAKAFANYA PROMO SANA
JIDE AKABADILI
NAO WAKABADILI

JIDE AKAPANGA SIKU NYINGINE
CLOUDS WAKAPANGA SIKU HIYOHIYO

HUKU JAYDEE VS MWANAFA WA CLOUDS
NA WAKADANGANYA RAIA ANGELETWA MSANII KUTOKA NJE
HAIKUA HIVYO

WAHENGA WAKIZUNGU WANASEMA
'WHATS GOING AROUND COMES AROUND '

walikua KAA sasa wanawaona wenzao ndio KAA
 
Kwa hili msijisumbue kutafuta Huruma ya wananchi nanyi mlinyanyasa wengi tu sasa zamu yenu ya kuona maumivu na mziki mwisho saa 6 usiku mjipange tu bashite simuungi mkono ila acha mjifunze malipo ni hapa hapa duniani sasa ni zamu ya kupata malipo yenu
hatar sn... fiesta hii mwisho saa6 usku
 
clouds nao walikuwa na michezo iyo iyo zamani yanawakuta nao sasa
 
MIAKA KADHAA NYUMA CLOUDS WALIKUA JEURI SANA SANA SANA
WAULIZE
SUGU
JIDE

MNAKUMBUKA JIDE ALIANZISHA SHOW MOJA CLOUDS WAKAPANGA YAO SIKU HIYOHIYO

WAKAFANYA PROMO SANA
JIDE AKABADILI
NAO WAKABADILI

JIDE AKAPANGA SIKU NYINGINE
CLOUDS WAKAPANGA SIKU HIYOHIYO

HUKU JAYDEE VS MWANAFA WA CLOUDS
NA WAKADANGANYA RAIA ANGELETWA MSANII KUTOKA NJE
HAIKUA HIVYO

WAHENGA WAKIZUNGU WANASEMA
'WHATS GOING AROUND COMES AROUND '

walikua KAA sasa wanawaona wenzao ndio KAA
hakunaga kitu iliniuma km clouds fm walipoamua kumtumia FA ili kumfelisha Jide,, yan ikiwezekana hiyo Fiesta izuiliwe kabisaaaa
 
Huyu leaker ni mmoja ya watu walio ktk team ya Mkulu ameamua kuvujisha information kwa masilahi yake mapans ameamua kuwa Whilst blower kwa wenzie, Anyway tunafahamu mikakati kibao ya RC ambayo inatumia pesa ndefu nje na Bajeti anayopewa, Kupenda Sifa ni Ujinga kwa kweli
 
Nachojua vita na mtoto wa mjini haijawahi kumuacha mtu salama, let's wait and see, time will tell.
 
Fiesta ili iweje, ama ngono na pombe? nyambafu kabisa. Tena ifutiliwe mbali nchi nzima
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hivi kwanini alisema hivyo? Usiwe kama KAA.
Mkuu.. tips za boss wa jiji la wazaramo ndiyo zimemfanya Mr Strategy wa CMG aanzishe hako ka kampeni..

Competition from EFM plus alllies from maliyamungu inawafanya CMG {Clouds Media Group} waweweseke!
 
Kazi kweli kweli kikao wakae kwa siri kumbe wengine wanawasanifu tu kuja kuvujisha siri. Binadamu watu wabaya sana
 
Kushindana na clouds fm ni sawa na kupigwa kwenzi jiwe?
 
Kama ni kweli Bashite ni zero nambari moja, kiuhalisia hao Clouds media hata wakiyumba vipi hawatakaa waanguke. Imewachukua miaka kuwa hapo walipo na sasa wameenda international, ni suala la upepo yaani inaweza kuwa just a bad day and not a bad life.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kujidanganya hao clouds fm walibebwa sana kipind cha kikwete na kujikuta wao ni miungu watu . full kuwafanyia vitina wasani na kiukwel clouds ni wanafiki wa kiwango cha PhD . sasa hiv ni lazima washushwe ili mwingine apande kipind hiki utawala huu . naona E fm wataendelea kupanda kama kawaida mwanzo mwisho

Binafsi nasema hiv acha wanyoshwe wapuzi hao

Safi sana makonda
 
Back
Top Bottom