Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mi nangoja tarehe 9 desember amtoe mke wa majizo lulu kama alivyoahidi.
ndo unajidanganya siku hizi hamna cha mtoto wa mjini wala nini....tiket zilipwe kwa kupitia mashine ya malipo ya TRA ili serikal ipate mapato halali.Makonda anatakiwa ajue kina ruge na kusaga ni watoto wa mjini hawezi shindan nao akashinda just a matter of time , siku wakimpatia target yake atajuta ,
Mda huu atawasumbua tu ila mda ukifika atajuta watoto wa mjini huw hawashindwi.
Vinega walikua wasanii wawilii tu??? Nimuda wakupeana vijitiWalibebwa kivip mkuu em fafanua zaidi, hizo fitina ni fitina zipi? Kuwa na mgogoro na wasanii wawili sio kigezo cha kisema hawa jamaa ni wafitini.
Kuna mpango mkakati ulioundwa na Team ya Makonda kwa ajili ya kuidhibiti timu ya Fiesta katika mkoa wa Dar es salaam. Makonda na wenzake wana mkakati juu ya mpango wa kuharibu show ya Fiesta Kwa hali na mali siku ya Tarehe 25-11-2017.
Wanamkakati wa Mtandao huo wakiongozwa na Jerry Muro pamoja William Malecela (Lemutuz) wametajwa kuunda kikosi cha mipango wa kuvuruga show ya Fiesta. Habari hizi zimekuja baada ya juzi kugomea mahojiano ya kushirikiana na waandaji wa Fiesta.
Leo asubuhi majira ya saa tano William Malecela (Lemutuz) alionekana katika vituo tofauti vya Bodaboda cha Mbuyuni, Salasala Manzese Darajani pamoja na Kigogo alionekana akizungumza na baadhi ya vijana wa Bodaboda ambao amewahaidi kuwapa Mafuta Kwa ajili ya kusindikiza msafara wa mkuu wa mkoa akienda katika show aliyoianda siku ya Jumamosi na kituo cha redio cha EFM.
Lengo la kuandaa msafara ni kutaka kuonyesha kuwa ni mtu anayependwa sana na kituo cha EFM kinakubalika kuliko kituo cha Clouds Fm.
Wawili hawa (Lemutuz na Jerry Muro) wanatajwa kuwa ni wanamkakati ambao walipendekeza na kushauri mpango wa kuharibu Fiesta pamoja na mzito huyo.
Zoezi lingine lililopangwa katika siku hiyo ya Jumamosi na Timu hiyo ya Waovu ni kuwaleta vilema waliokosa miguu kuwa wanafunzi wenye ulemavu na wapatiwe bure.
Majina yao ni
Zainab Hamissi
Sultan Gonga
Bahati Ally
Advera Shoo
Juma Ally
Aisha Mkoba
Mwanamvua Mkambara
Shukuru kuyoha
Mwidadi Mapunga
Jambo hilo limeratibiwa pia na baadhi ya waandaji wa kipindi cha Joto la Asubuhi kupitia kwa ndugu Abel Onesmo zoezi hili uwepo wake ni wa Siri sana kutoka kwa kiongozi huyo mkuu wa mkoa.
Majina ya wanamkakati wengine ambao walikutana katika kikao cha Jana usiku Masaki Kwa mkuu wa Mko ni hawa wafuatao;
1. Omar Ali Shehe (TRA)
2. ACP Emmanuel kilerwa
3. Abdilahi Jihad (NON)
4. Said Ally Mbarouk (NON)
5. Jeniffer Mpangala (TRA)
Kikao kilichofanyika jana usiku Nyumbani Kwa Mhe. Walijadili kuhusu ukaguzi wa Vifaa vitakavyotumika katika Fiesta na matumizi ya risiti za EFD. Jambo kingine walijadili kuhusu kipindi cha Joto la Asubuhi ambapo kitaruka kesho tarehe 17-11-2017.
Makonda atakuwa anahojiwa kuelezea habari za mabahari na show ya wanafunzi ya bure waliyoianda siku ya Jumamosi kingine ni kuhusu zoezi la ugawaji miguu mabandia.
Kuna hatihati ya mtangazaji wa EFM kusimamishwa kutokana na kupingana na ujio wa Mkuu wa Mkoa katika kipindi hicho.
Siri imevuja...!
HUWEZI KUSHINDA VITA UKIWA NA NJAA.
Kila kitu kina umuhimu wake kwa wakati wakeFiesta ina umuhimu gani kuliko msaada kwa walemavu?
Atakuwa huyo huyo mkuu au wenda ni kibaraka wake.Aliyeweka andiko hili sio Ruge?
Utawala uliopita walitamba mnoKwa hawa clouds acha wavune walichopanda, huruma kwa clouds ni unafiki, haya ni mavuno sahihi kwao.
Wazijua protocol za kufanya shughuli yyt katika mkoa/wilaya?Mkuu wa mkoa anahusikaje na Watu wanaoshika nyeti majukwaani
Wanaona bora waharibu vijana wetu kwa mambo yao ya anasa, kuliko msaada kwa walemavu, sijawahi kuona faida ya hiyo fiestaFiesta ina umuhimu gani kuliko msaada kwa walemavu?