Jerry Muro ni wa kutilia shaka sana ujio wake Dar | TAKUKURU Kuweni makini hapo

Jerry Muro ni wa kutilia shaka sana ujio wake Dar | TAKUKURU Kuweni makini hapo

Baada ya Haji Manara kukataa kuzungumzia pambano la tarehe 8 kwa kuwa mwenyeji ni Yanga na akifanya hivyo ili tu kutohamasisha washabiki kujaa uwanjani sasa Jerry anakuja kufanya kazi ya kupiga kelele ili hilo pambano lijaze uwanja na Yanga wapate chochote kitu.

Baada ya hiyo mechi ya tarehe 8 Jerry atapotea na kuendelea na majukumu yake ya kiserikali.
 
Kuna ukweli hapa.. mana yule jamaa mwingine wa kipindi cha wanyama mpira hajui.. na juzi tu apa kazichapa eti kaibiwa cm kumbe muongo
 
Nimemsikia akimkejeli Haji Manara kwamba anamzidi elimu ya madrasa tu!

Sasa nimuulize,anaidharau elimu hiyo?
Kwa sisi tunao ona mambo,Haji Manara ni mtoto wa mjini,yeye ukitoa hiyo nafasi ya uteuzi,anabaki kuwa mtu wa kawaida sana.

Siafiki yeye kudharau elimu ya madrasa ya Haji,azungumzie timu yake na historia kama kawaida yao.

Anasema timu inaonewa,na nani?Kuna mtu aliwalazimisha mumsajili Molinga na Ykipe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi nyadhifa zao kuteuliwa na midomo yao mwishowe ndo inawakuta ya kina kangi.. na ndio sababu hata mzee hayati mzee nyerere alisema nchi asipewe mchaga. Hawa watu wabaya sana
 
Nimemsikia akimkejeli Haji Manara kwamba anamzidi elimu ya madrasa tu!

Sasa nimuulize,anaidharau elimu hiyo?
Kwa sisi tunao ona mambo,Haji Manara ni mtoto wa mjini,yeye ukitoa hiyo nafasi ya uteuzi,anabaki kuwa mtu wa kawaida sana.

Siafiki yeye kudharau elimu ya madrasa ya Haji,azungumzie timu yake na historia kama kawaida yao.

Anasema timu inaonewa,na nani?Kuna mtu aliwalazimisha mumsajili Molinga na Ykipe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ya madrasa haina faida yoyote Haji ameajiriwa kwa mdomo tu lakin Muro akiondoka hapo anarudi kutangaza kwenye TV au redio.Elimu ya madrasa inamsaidia mhusika tu na sio jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsikia akimkejeli Haji Manara kwamba anamzidi elimu ya madrasa tu!

Sasa nimuulize,anaidharau elimu hiyo?
Kwa sisi tunao ona mambo,Haji Manara ni mtoto wa mjini,yeye ukitoa hiyo nafasi ya uteuzi,anabaki kuwa mtu wa kawaida sana.

Siafiki yeye kudharau elimu ya madrasa ya Haji,azungumzie timu yake na historia kama kawaida yao.

Anasema timu inaonewa,na nani?Kuna mtu aliwalazimisha mumsajili Molinga na Ykipe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo penalty ya Shinyanga kweliii au umepuliziwa nusu kaputi
 
Umeona kuwa Kesho Yanga SC yako ikicheza na Gwambina FC katika Kombe la ASFC kwa Udhaifu na Uchanga wa Timu hiyo ya Gwambina leo umejifanya Kujitokeza katika Vyombo vya Habari na kusema kuwa Kesho Yanga SC itaibuka na Ushindi mnono na kuwataka wanayanga wote wajazane Uwanjani kuishangilia Timu yao.

Kama kweli DC Jerry Muro una Uchungu na Yanga SC yako ulikuwa wapi Kujitokeza Kuizungumzia, Kuleta kama siyo Kurudisha Hamasa kwa Mashabiki na Wachezaji hadi ujitokeze leo na Kujiita Mkombozi na kwamba una Nywila ( Password ) ya Ushindi ya Yanga SC?

Kwahiyo DC Jerry Muro ulikuwa unasubiri hadi Yanga SC yako ifanye vibaya na Kesho icheze na Gwambina FC ambako mnauhakika wa Kushinda ndipo ujitokeze kama hivi kutafuta Sifa ( Kiki ) kwa wanayanga ambao bahati mbaya wengi Wao wana Hasira na Wewe kweli kweli hasa baada ya Wewe Kugundulika kuwa ndiyo uliyemponza aliyekuwa Mfadhili wenu Yusuph Manji hadi yakampata yale yaliyompata?

Na hakuna Watu ambao nawashangaa kama Viongozi wa Yanga SC ambao leo walikuwepo ( waliambatana ) nae DC Jerry Muro Klabuni Kwao alipokuwa anazungumza na wana Habari. Kwa Kitendo cha Viongozi wa Yanga SC kumkaribisha DC Jerry Muro ni sawa na Kukikaribisha Kirusi cha COVID-17 kinachosababisha Mafua ya Corona kutoka nchini China kuja Tanzania na hasa hasa kujikita sana katika Mitaa ya Twiga na Jangwani yalipo Makao Makuu ya Klabu ya Yanga.

Najua kuna wale Wavivu wa Fikra kutoka Klabu ya Yanga watafurahia huu urejeo wa Kinafiki na Kizandiki wa DC Jerry Muro ila kwa tunaomjua vyema DC Jerry Muro amejifanya Kujirudisha tena Yanga SC kutokana na Matokeo yake mabaya ili awateke Akili Viongozi kisha awadukue Kiujasusi hawa Wafadhili ( Wadhamini ) wa Yanga SC Kampuni ya GSM kisha akairipoti kwa yule yule aliyempelekea Habari za Yusuph Manji kisha nao GSM yawakute.

DC Jerry Muro leo kawaaminisha wanayanga kuwa Timu yao imekuwa ikifanya vibaya kwakuwa inahujumiwa na Klabu ya Simba huku akisema kuwa kuna Wachezaji wa Yanga SC wanahongwa na Simba SC na kama haitoshi akaenda mbele zaidi na kusema kuwa Timu yake ya Yanga inahujumiwa na Simba SC hasa kwa Kuwekewa Dawa Viwanjani na Mambo ya Kishirikina na kuwataka wanayanga wote kuanzia leo jioni waende Kuulinda Uwanja wa Taifa ambao watauchezea mechi yao ya Kombe la FA Kesho dhidi ya Gwambina FC.

Mwisho kabisa namtahadharisha DC Jerry Muro kwamba japo amejiaminisha huku akiwa na uhakika kabisa kuwa Kesho Yanga SC itashinda kati ya Goli 7 hadi 8 dhidi ya Gwambina FC ila Mimi namwambia kuwa kama kuna Mechi ambayo Yanga SC hawapaswi kwenda na Matokeo mkononi na Kujiamini na Kujiaminisha kuwa watashinda basi ni mechi yao hiyo ya Kesho. Muda utaongea vyema Kesho ila DC Jerry Muro atafute ni wapi atauficha Uso wake kwa Aibu Kubwa.

Na kwakuwa wengine ni Watu wa Mpira tokea Siku nyingi na pia ni Wafukunyuzi wazuri tu wa Matukio, Habari na Mambo mbalimbali na tuko karibu mno na Wachezaji wengi wa hivi Vilabu Vikubwa nimwambie tu DC Jerry Muro kuwa Yanga SC yake inafanya vibaya kwakuwa kuna Mgogoro mkubwa sana ndani ya Wachezaji waliosajiliwa na Wafadhili wao wa Mlango wa nyuma GSM na wale waliosajiliwa na Yanga SC yenyewe kama yenyewe.

DC Jerry Muro ajue ya kwamba wale Wachezaji waliosajiliwa na Wafadhili wao GSM wanalipwa Mishahara na wanapata Posho zao ila wale waliosajiliwa na Uongozi wa Yanga SC wanalia njaa mno Kitendo ambacho kimepunguza sana Ari ya Kiuchezaji baina ya Timu nzima. Na nasikitika kuona Wachezaji wenyewe wa Yanga SC wakikutana na Sisi Wadau wa Mpira wanatuambia hizi Siri lakini Viongozi wa Yanga SC wanaficha na kwa Kuwapumbaza na kuwafanya wanayanga ni Mambumbumbu leo wameona wamtafute Mtu ambaye angalau anaweza Kupambana na Kujibizana na Msemaji wa Simba SC kwani wamegundua akina Hassan Bumbuli na Bondia Mtanashati asiye na Mkanda wowote Antonio Nugaz wameshindwa ndiyo wakamkaribisha Nyoka mwenye Sumu Kali na Kirusi kilichoisambaratisha Yanga SC ile ya Yusuph Manji Msemaji wao wa zamani DC Jerry Muro ili arudishe Hamasa na Mwamko uliopotea kwani tayari Wanachama, Wapenzi na Mashabiki wa Yanga SC wameshaichoka Timu yao na kuna Uwezekano hata Uwanjani pia wasiwe wanahudhuria vile vile.

Yakitokea ya kutokea huko Yanga SC msije kusema Mzukulu sikuwaambia kwani nimeshatoa Tahadhari hii mapema Kwenu.
Genta nakuunga mkono, Huyo Muro anaudanganya uma kwamba Yanga itachukua VPL na leo itaifunga Gwambina kwenye confederation kipigo kikali si chini ya bao 5, uwezo huo Yanga hii ya sasa hivi haina
 
Hivi watu wa simba kweli naungana na Rage aliposema simba ni mbumbumbu wapi Muro alipoidharau elimu ya madrasa yeye amesema kazidiwa kwa elimu hiyo
 
Hayo maneno yooote lakini mfungaji ni nani? winga yes wapo akina morson mfungaji ni nani? je! ni yikpe anayerukaruka hovyo uwanjani? je! ni huyu baunsa kutoka kongo anayedondoka hovyo uwanjani na asiye na nguvu za miguu? ni nani mwenye target nzuri apatapo mpira wa mwisho? kocha afanye maamuzi magumu ambadilishe morson awe mfungaji wa kati angalau anaweza kuwa na uhakika na mipira ya mwisho.
 
NAKAZIA NA KUUNGA MKONO HOJA "TAKUKURU KUWENI MAKINI" KWA MUJIBU WA MURO NI KWAMBA GAME WAMESHAICHEZA NJE YA UWANJA BADO NDANI TU. MANAKE NI NINI???

1. LEO KUNA HATARI YA YANGA KUPATA PENATI YA UPENDELEO
2. KUNA HATARI YA KUFUNGA KWA OFFSIDE
3. KUNA HATARI YA GWAMBINA KULA RED CARD
4. KUNA HATARI YA GWAMBINA KUNYIMWA GOLI LA WAZI

NAISHIA HAPO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom