Jerry Muro ni wa kutilia shaka sana ujio wake Dar | TAKUKURU Kuweni makini hapo

Baada ya Haji Manara kukataa kuzungumzia pambano la tarehe 8 kwa kuwa mwenyeji ni Yanga na akifanya hivyo ili tu kutohamasisha washabiki kujaa uwanjani sasa Jerry anakuja kufanya kazi ya kupiga kelele ili hilo pambano lijaze uwanja na Yanga wapate chochote kitu.

Baada ya hiyo mechi ya tarehe 8 Jerry atapotea na kuendelea na majukumu yake ya kiserikali.
 
Kuna ukweli hapa.. mana yule jamaa mwingine wa kipindi cha wanyama mpira hajui.. na juzi tu apa kazichapa eti kaibiwa cm kumbe muongo
 
Nimemsikia akimkejeli Haji Manara kwamba anamzidi elimu ya madrasa tu!

Sasa nimuulize,anaidharau elimu hiyo?
Kwa sisi tunao ona mambo,Haji Manara ni mtoto wa mjini,yeye ukitoa hiyo nafasi ya uteuzi,anabaki kuwa mtu wa kawaida sana.

Siafiki yeye kudharau elimu ya madrasa ya Haji,azungumzie timu yake na historia kama kawaida yao.

Anasema timu inaonewa,na nani?Kuna mtu aliwalazimisha mumsajili Molinga na Ykipe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi nyadhifa zao kuteuliwa na midomo yao mwishowe ndo inawakuta ya kina kangi.. na ndio sababu hata mzee hayati mzee nyerere alisema nchi asipewe mchaga. Hawa watu wabaya sana
 
Elimu ya madrasa haina faida yoyote Haji ameajiriwa kwa mdomo tu lakin Muro akiondoka hapo anarudi kutangaza kwenye TV au redio.Elimu ya madrasa inamsaidia mhusika tu na sio jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo penalty ya Shinyanga kweliii au umepuliziwa nusu kaputi
 
Genta nakuunga mkono, Huyo Muro anaudanganya uma kwamba Yanga itachukua VPL na leo itaifunga Gwambina kwenye confederation kipigo kikali si chini ya bao 5, uwezo huo Yanga hii ya sasa hivi haina
 
Hivi watu wa simba kweli naungana na Rage aliposema simba ni mbumbumbu wapi Muro alipoidharau elimu ya madrasa yeye amesema kazidiwa kwa elimu hiyo
 
Hayo maneno yooote lakini mfungaji ni nani? winga yes wapo akina morson mfungaji ni nani? je! ni yikpe anayerukaruka hovyo uwanjani? je! ni huyu baunsa kutoka kongo anayedondoka hovyo uwanjani na asiye na nguvu za miguu? ni nani mwenye target nzuri apatapo mpira wa mwisho? kocha afanye maamuzi magumu ambadilishe morson awe mfungaji wa kati angalau anaweza kuwa na uhakika na mipira ya mwisho.
 
NAKAZIA NA KUUNGA MKONO HOJA "TAKUKURU KUWENI MAKINI" KWA MUJIBU WA MURO NI KWAMBA GAME WAMESHAICHEZA NJE YA UWANJA BADO NDANI TU. MANAKE NI NINI???

1. LEO KUNA HATARI YA YANGA KUPATA PENATI YA UPENDELEO
2. KUNA HATARI YA KUFUNGA KWA OFFSIDE
3. KUNA HATARI YA GWAMBINA KULA RED CARD
4. KUNA HATARI YA GWAMBINA KUNYIMWA GOLI LA WAZI

NAISHIA HAPO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…