Jerry Muro ni wa kutilia shaka sana ujio wake Dar | TAKUKURU Kuweni makini hapo

Amesema yuko likizo time
 
Mashabiki wa yanga akili zao ni kama kuku wa kienyeji.Leo wanamsifia jerry muro ila muda si mrefu watakuja lia.baadhi ya maneno aliyoyazungumza ni pamoja na kuponda mwelekeo wa mabadiliko ya uendeshaji wa klabu na kudharau udhamini wa gsm.
Bahati mbaya washabiki na wanachama wa yanga kwa kweli hadi leo hawajui wanataka nini wanamtazama muro kama mtu sahihi wa kupambana na maneno shombo ya manara,kwao wao manara ni kero isioelezeka.kundi hili hawajui dawa ya kumyamazisha manara ni timu yao kufanya vizuri.lakini pia kuna kundi linalotaka timu ifanye vizuri kwa kuhurumiwa tu,kundi hili ndio lenye kuendesha malalamiko ya kuhamahama mara simba wanapulizia dawa vyumbani,mara tff na bodi ya ligi zinatuonea mara waamuzi wanatuonea mara timu pinzani zinatukamia,ilimradi ni malalamiko tu kila kukicha na usipokuwa makini unaweza kudhani wana hoja za msingi kumbe hamna kitu chochote ila ni kuficha tu madhaifu yao ambayo si mengine ni kuwa timu yao haina uwezo,hivyo huwezi kushinda eti kwa sababu wewe ni yanga.
Katika hali hiyo ya kutojitambua ndiposa anatokea jerry muro kama mkombozi kwanza wa timu kushinda na pili wa kumdhibiti haji manara.
Amini nawaambia jerry muro kwa faida ya uongozi uliopo wa yanga amekuja uvuruga mchakato wa mabadiliko wa klabu,hebu fikiri iweje uongozi umpe nafasi ya kuongea na wao wakiwepo halafu ktk kikao hichohicho anasisitiza timu haiwezi kuwa ya mabwanyenye kama ilivyo simba.je ina maana bwanyenye ni Dewji tu na Gharib Salim Mohammed (GSM) sio bwanyenye? Kwa nni viongozi wanachekelea wakati muro alipoyasema haya?
Mchakato ukivurugika ni viongozi watakaofaidika kwa kuwa wataitafuna yanga kama mchwa,hivi sasa inasemekana hawafurahishwi na kitendo cha gsm kutoa pesa bila kupitia kwao.
Yote kwa yote jerry muro ana ajenda maalum ambayo ni yeye,msola na mwakalebela tu ndio wanaoijua wengine subirini muone matokeo ya Gharib anavyotoka mbio pengine kuliko zile za Manji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamenyimwa penati ya wazi gwambina fc!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yupo likizo kwani unateseka?
 

Kusema kuwa Haji anamzidi elimu ya Madrasa tu ndio ameidharau elimu ya Madrasa?
 
Mtani nawe ni mfuwasi wa JErry??? Matusi yote hayo Kwa timu?? Anaigawa timu hamuoni?? Anachangia shilingi ngapi kwenye mishahara ya wachezaji??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio Mfuasi wa Jerry sababu ni mwanachama tu wa Yanga kama walivyo wanachama wengine.

Matusi gani hayo Mtani? Kuigawa kivipi hiyo timu?
 
huyu utopolo lazima wamsupport maana naye akili hana. ndo maana anasema ametumwa... mwanaume hawezi tumwa hata siku moja. nimechunguza kumbe jenny muro hata mtoto hana........... nikasema ndo wale wale................
Huyo ndio kiboko ya mbumbumbu. Sisi wanayanga tunamsapoti kwa asilimia 100%.
 
Jerry, Bashite na Musiba sioni km wanatofauti......wote wanamidomo michafu sn na wanatengeneza migogoro ya kijamii....
 
Manara hataki kujibishana na Jerry kwa sasa kwakuwa anaheshimu kuidhalilisha Dola ambayo imempa mamlaka ya u DC Jerry.
La nawaambieni Jerry angetafuta pa kujificha kwa matusi ya Manara.
Kama Kwa kuwaacha wachambane Jerry hamwezi Manara. Atachambwa Hadi aikimbie Nchi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…