Weka clip tumjajiJerry ajifunze kujieleza..anaulizwa swali moja anajibu dakika tano.kiifupi anajibu kwa kulipuka,na kujipendekeza.
Jerry ukifanikiwa kupita huku..ujumbe...jifunze kujibu maswali kwa utulivu na kwa kifupi...wewe mwandishi mzuri sana..ila kuna hivyo vitu vidogo vidogo unatakiwa kurekebisha.
Kama humjui pita mbali, bila shaka yanayojadiliwa hayakuhusuBashite ndio nani!?
Sema umemwelewa wewe na waJingalao wenzio, nani wa kusumbuka na huyo blackmailer!! Ameshapata kanafasi ka kutetea ujinga kwa ujira mwembamba anajiona mjanja? Mbali ya madhaifu yao yote lakini kwa huyu polisi walifanya kitu sahihi sana. Billion 5 zimeokolewa kwenda wapi wakati waliokuwa wanalipwa walikuwa watumishi halali wa serikali mpaka ilipogundulika vinginevyo? Kama hawakuwa na ufanisi kazini mamlaka zinazowasimamia zilichukua hatua gani dhidi yao? Utasemaje fedha imeokolewa wakati walikuwa wanalipwa kwa Kazi walizokuwa wameajiriwa na wanazifanya? Mwandishi makini haiishii kushabikia bila kuhoji mantiki ya zoezi na jinsi lilivyoendeshwa. Kitendo cha kada moja kuondolewa kazini kwa kosa moja na kada nyingine kuachwa kwa kosa hilohilo yeye anaona ni sahihi, Uteuzi bado unaendelea na Kazi ziko nyingi mpeni u-Rc wa Dodoma.Huyu jamaa kawafunika hawa watangazaji mpaka watu tumumuelewa
Jerry Murro yupo live clouda360 akihojiwa katika kipindi hicho ameulizwa juu ya tetesi zinazozagaa za mh Zitto kuiwinda nafasi ya uraisi wa TFF na haya ndio majibu yake kama ninavyomnukuu;
"Zitto ni mwanasiasa mbinafsi hafai kuiongoza TFF",mwisho wa kumnukuu.Alienda mbali hata kuongeza kwamba alishawahi kuongea na lisu nae alimweliza ya kwamba wanafahamu tabia za ZZK vizuri,binafsi naona huu ni uchonganishi .
Lakini kwa mtizamo wangu naona kama kuna viashiria vya jerry kuingia kwenye siasa siku za usoni.Jerry anadai yeye ni mzawa wa Ubungo maziwa na wananchi wa ubungo tayari washaanza kumuomba kujitosa kwenye kinyang'anyiro.
Namshari bwana Jerry hata kama anampango wakuingia kwenye siasa basi asitumie njia yakuchafua wengine kama ngazi yakumfikisha kwenye malengo yake yakisiasa.
Jerry naye "alizungusha"huyo kichwa maji amekua msemaji wa Bashite.