Jerry Muro: Vyombo vya habari vimemuona Bashite tu vyeti feki? Zitto Kabwe hafai Urais TFF

Jerry Muro: Vyombo vya habari vimemuona Bashite tu vyeti feki? Zitto Kabwe hafai Urais TFF

Jerry ajifunze kujieleza..anaulizwa swali moja anajibu dakika tano.kiifupi anajibu kwa kulipuka,na kujipendekeza.
Jerry ukifanikiwa kupita huku..ujumbe...jifunze kujibu maswali kwa utulivu na kwa kifupi...wewe mwandishi mzuri sana..ila kuna hivyo vitu vidogo vidogo unatakiwa kurekebisha.
 
Weka clip tumjaji
 
Huyu jamaa kawafunika hawa watangazaji mpaka watu tumumuelewa
 
Anasema Zitto Kabwe ni mbinafsi sana na anajali maslahi yake , hata wenzie Ukawa kawakimbia ili tu kuanzisha chama chake, hivyo haaminiki na hafai kuwa Rais wa Tff
 
Mwandishi maarufu nchini Tanzania Jerry murro amesema Zitto kabwe hafai kuwa rais wa TFF kwasababu ni mbinafsi na mtu wa kimaslahi zaidi.Jerry ameyasema hayo ktk Kipindi za 360 kinachorushwa na clouds TV. Sanjari na hilo Jerry amesema jimbo la ubongo linaitaji kiongozi mwenye vision ili kutatua kero za wananchi.Habari zilizopo(tetesi) ni kwamba jerry analinyemelea jimbo la ubungo 2020
 
Jerry Murro yupo live clouda360 akihojiwa katika kipindi hicho ameulizwa juu ya tetesi zinazozagaa za mh Zitto kuiwinda nafasi ya uraisi wa TFF na haya ndio majibu yake kama ninavyomnukuu;

"Zitto ni mwanasiasa mbinafsi hafai kuiongoza TFF",mwisho wa kumnukuu.Alienda mbali hata kuongeza kwamba alishawahi kuongea na lisu nae alimweliza ya kwamba wanafahamu tabia za ZZK vizuri,binafsi naona huu ni uchonganishi .

Lakini kwa mtizamo wangu naona kama kuna viashiria vya jerry kuingia kwenye siasa siku za usoni.Jerry anadai yeye ni mzawa wa Ubungo maziwa na wananchi wa ubungo tayari washaanza kumuomba kujitosa kwenye kinyang'anyiro.

Namshari bwana Jerry hata kama anampango wakuingia kwenye siasa basi asitumie njia yakuchafua wengine kama ngazi yakumfikisha kwenye malengo yake yakisiasa.
 
Huyu jamaa kawafunika hawa watangazaji mpaka watu tumumuelewa
Sema umemwelewa wewe na waJingalao wenzio, nani wa kusumbuka na huyo blackmailer!! Ameshapata kanafasi ka kutetea ujinga kwa ujira mwembamba anajiona mjanja? Mbali ya madhaifu yao yote lakini kwa huyu polisi walifanya kitu sahihi sana. Billion 5 zimeokolewa kwenda wapi wakati waliokuwa wanalipwa walikuwa watumishi halali wa serikali mpaka ilipogundulika vinginevyo? Kama hawakuwa na ufanisi kazini mamlaka zinazowasimamia zilichukua hatua gani dhidi yao? Utasemaje fedha imeokolewa wakati walikuwa wanalipwa kwa Kazi walizokuwa wameajiriwa na wanazifanya? Mwandishi makini haiishii kushabikia bila kuhoji mantiki ya zoezi na jinsi lilivyoendeshwa. Kitendo cha kada moja kuondolewa kazini kwa kosa moja na kada nyingine kuachwa kwa kosa hilohilo yeye anaona ni sahihi, Uteuzi bado unaendelea na Kazi ziko nyingi mpeni u-Rc wa Dodoma.
 
Jerry Murro yupo live clouda360 akihojiwa katika kipindi hicho ameulizwa juu ya tetesi zinazozagaa za mh Zitto kuiwinda nafasi ya uraisi wa TFF na haya ndio majibu yake kama ninavyomnukuu;

"Zitto ni mwanasiasa mbinafsi hafai kuiongoza TFF",mwisho wa kumnukuu.Alienda mbali hata kuongeza kwamba alishawahi kuongea na lisu nae alimweliza ya kwamba wanafahamu tabia za ZZK vizuri,binafsi naona huu ni uchonganishi .

Lakini kwa mtizamo wangu naona kama kuna viashiria vya jerry kuingia kwenye siasa siku za usoni.Jerry anadai yeye ni mzawa wa Ubungo maziwa na wananchi wa ubungo tayari washaanza kumuomba kujitosa kwenye kinyang'anyiro.

Namshari bwana Jerry hata kama anampango wakuingia kwenye siasa basi asitumie njia yakuchafua wengine kama ngazi yakumfikisha kwenye malengo yake yakisiasa.

Alichokisema Jerry Muro ni sahihi kabisa
Yule mh ni mbinafsi sana
Mjasiliamali wa siasa
 
Huyu jer si ndiyo yule aliyekuwa na kesi ya rushwa na kukutwa na pingu akiwa mwanahabari.kama si yeye mnisamahee
 
Back
Top Bottom