Mwandishi maarufu?[emoji15] [emoji15]Mwandishi maarufu nchini Tanzania Jerry murro amesema Zitto kabwe hafai kuwa rais wa TFF kwasababu ni mbinafsi na mtu wa kimaslahi zaidi.Jerry ameyasema hayo ktk Kipindi za 360 kinachorushwa na clouds TV. Sanjari na hilo Jerry amesema jimbo la ubongo linaitaji kiongozi mwenye vision ili kutatua kero za wananchi.Habari zilizopo(tetesi) ni kwamba jerry analinyemelea jimbo la ubungo 2020
Atakuwa mulokozi kutoka bukoba,,,,,mbona kaskazini hatuko hivi,huyu ni some body muro kweli?
Aaaa tartibu ShekheeeHalafu nasikia sio rizki huyu hivi ni kweli?
JERRY MURO ALIVYOSEMA KUHUSU ZITTO KABWE KUIONGOZA TFF
“Hapana! Zitto Kabwe hawezi kuiongoza TFF. Zitto ni mwanasiasa ambaye anatazama maslahi yake, hatazami maslahi ya watu wengine.
"Hafai kuiongoza TFF kwa sababu ni mbinafsi, ni mmimi. Kama mtu ameshindwa kukaa na wenzie akaamua kwenda kuanzia chama chake na akahakikisha yeye mwenyewe anakiongoza. Hapana, Zitto hafai kwavile ni mbinafsi.”
– Jerry Muro.
Aaa tafadhali mkuu, ya kweli hayo!!?Halafu nasikia sio rizki huyu hivi ni kweli?
Ni huyo huyo alinunua pingu duka la jeshi eti akampe mwanawe achezee!!Huyu ndo anatishaga watu na pingu ili apewe pesa??..mpuuzeni tu..
Mûri ashazoea kuishi kwa domodomo ndomana yanga walimpiga chiniJerry kawachana vilivyo hawa waandishi kanjanja
Kwani katoka ile kanda ya viongozi?Anatafuta u-DAS kwa nguvu.
Kweli mkuu mm najua hili toka yupo IPPAaaa tartibu Shekheee
Kweli mkuu toka yupo IPP nalijua hili sio habari za mitaani ni habari za kweli kabisaAaa tafadhali mkuu, ya kweli hayo!!?