Pre GE2025 Jerry Murro aonekana Bungeni , Aomba umoja wa kitaifa kwenye Miswada ya Uchaguzi

Pre GE2025 Jerry Murro aonekana Bungeni , Aomba umoja wa kitaifa kwenye Miswada ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu mwamba alitumwaga na nani sijui kuja kufanya reseach alinisumbuaga sana mpaka saa saba usiku anapiga simu upokifuani mwa mtu ye ni kupiga tu kiufupi hana adabu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtafurahi pale hizo sheria zitapita kama zilivyo na watasema walipokea na kuchuja maoni ya wadau. Upinzani nchi hamjifunzi na hamtokuja kujifunza kamwe.
Upinzani unatakiwa kuweka hadharani maoni yao kabla sheria haijapitishwa. Kwa namna hiyo itakuwa wazi yao mangapi yamepuuzwa. Upinzani usinge hudhuria vikao ungetoa mwanya wa kusema kuwa mngeleta mawazo yenu tungeyafanyia kazini lakini kwa sababu hamkushiriki tungefanyia kazi mawazo yapi?

Amandla...
 
Huyu jamaa siweze kumpa hata muda wangu kama mwananchi wa maana.

Nilipanda naye ndege kutoka KIA mpaka Dar akakaa pembeni yangu alikuwa mkuu wa wilaya. Cha ajabu eti alikataa kufunga mkanda na madada wa ndege walikuwa wanamaogopa kumwambia hilo. Nikamwambia funga mkanda akashangaa sikumuita muheshimiwa! Mkanda ni usalama wa ndege nzima ! Kuanzia siku hiyo najua jamaa ni boya
Limbukeni,mshamba Sana mangi
 
Upinzani unatakiwa kuweka hadharani maoni yao kabla sheria haijapitishwa. Kwa namna hiyo itakuwa wazi mangapi wamepuuzia. Upinzani usinge hudhuria vikao ungetoa mwanya wa kusema kuwa mngeleta mawazo yenu tungeyafanyia kazini lakini kwa sababu hamkushiriki tungefanyia kazi mawazo yapi?

Amandla...
Emmanuel Masonga amepewa Jukumu hilo la kuachia maoni ya Chadema hadharani
 
View attachment 2863968

Kwa mara ya Kwanza tangu atenguliwe kwenye Ukuu wa Wilaya , Ndugu Jerry Murro ameonekana hadharani .

Amekutwa ndani ya Bunge huko Dodoma akichangia kuhusu Miswada ya Sheria za Uchaguzi ( Haijulikani alipelekwa na nani ) , Bali nilichokiona leo nimegundua kwamba Madaraka ndio yanayoharibu tabia za vijana , leo Jerry Murro ameongea kiupole na kwa adabu mno ! Amesisitiza masuala ya umoja wa kitaifa hadi nikashangaa ! Ameonyesha ustaarabu mno !

Japo sikuona cha maana alichochangia kwenye muswada wenyewe zaidi ya kurudiarudia neno 4R , ila nampongeza kwa heshima aliyoionyesha bungeni
na hamtafanya cha maana mpaka mshindwe uchaguzi
 
Back
Top Bottom