Pre GE2025 Jerry Murro aonekana Bungeni , Aomba umoja wa kitaifa kwenye Miswada ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu mwamba alitumwaga na nani sijui kuja kufanya reseach alinisumbuaga sana mpaka saa saba usiku anapiga simu upokifuani mwa mtu ye ni kupiga tu kiufupi hana adabu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtafurahi pale hizo sheria zitapita kama zilivyo na watasema walipokea na kuchuja maoni ya wadau. Upinzani nchi hamjifunzi na hamtokuja kujifunza kamwe.
Upinzani unatakiwa kuweka hadharani maoni yao kabla sheria haijapitishwa. Kwa namna hiyo itakuwa wazi yao mangapi yamepuuzwa. Upinzani usinge hudhuria vikao ungetoa mwanya wa kusema kuwa mngeleta mawazo yenu tungeyafanyia kazini lakini kwa sababu hamkushiriki tungefanyia kazi mawazo yapi?

Amandla...
 
Limbukeni,mshamba Sana mangi
 
Emmanuel Masonga amepewa Jukumu hilo la kuachia maoni ya Chadema hadharani
 
na hamtafanya cha maana mpaka mshindwe uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…