Jerry Silaa hapa umeonyesha Kiburi cha Mamlaka na hii haikusaidii na haiisaidii nchi jirekebishe

KARUDISHA KIWANJA CHA WIZI NN NAONA MAJAMBAZI WA ARDHI HAMNA HAMU NAE KAJA NA PROJECT ENDELEVU HATOKIHUYU HQTA MUMCHAFUEJE
 
Dk Jerry sillaaa
 
Viburi vya madaraka kwa viongozi wakifikiri wna akili sana.

CCT wengine waliochukua viwanja ni wanajeshi na watumishi na waliuziwa kwa kuhusisha mpaka MKURABITA wakalipia benki ya CRDB

Kumtishia mwananchi anayeeleza kile anachoamini ni sahihi eti awekwe ndani sijui kwa kosa lipi la jinai au kimaadili hapo?

Naibu waziri wa ardhi Ridhiwani Kikwete alishawahi kwenda hapo akajaribu kutaka afuatwe yeye anavyotaka lakini mnafahamu kilichofuata. Pale ni moto wanajeshi wana hasira sana mwaka 2014-2015 walivunjiwa nyumba zao tena chini ya usimamizi wa wilaya ya Mvomero ambaye naye baada ya hapo alifutwa kazi.

Sasa kuna huyu anayejiita mtoto wa rubani asiye na shida ya pesa kisa kalelewa na familia yenye uwezo unaenda kwa wananchi kuwafokea badala ya kuwasikiliza hata kama wanachoongea hakina mashiko baadae unawaelimisha na kuwaelekeza badala kutishia kuwaweka ndani polisi-kwanini viongozi hawajifunzi?
 
Waziri ana mambo mengi, huwezi kumhutubia, mpe summary ya yaliyojiri , yeye atakupa ufafanuzi.

Mlikataa shule alagu unaanza kumlaumu kiongozi!
 
Hao wanajeshi ndio wanatakiwa kufuata sheria na wawe kioo cha jamii, yaani wavunje sheria kisa wanajeshi?
 
Hao wanajeshi ndio wanatakiwa kufuata sheria na wawe kioo cha jamii, yaani wavunje sheria kisa wanajeshi?
Tema mate kama waziri wako atatoboa kwa mgogoro wa pale CCT........I am just sneaking to witness the risky consequences he has decided to embark on......period!!
 
Tema mate kama waziri wako atatoboa kwa mgogoro wa pale CCT........I am just sneaking to witness the risky consequences he has decided to embark on......period!!
Anatoboa asubuhi tu, yaani ukanunue ardhi katika msitu wa serikali halafu ikuache? Yaani ni sawa uende mbuga ya serengeti pale katikati, au viwanja vya mnazi mmoja, ukanunue kiwanja, halafu waziri akikuambia ukweli, eti unasema hatoboi. Hata akitoka, akija mwingine msimamo wa serikali ni huo huo, kwa hiyo utaishi kwa mashaka maisha yako yote.

Waliokuwa wanavunjiwa na JPM walikuwa na hati kabisaa, acha wewe na vikaratasi vyako vya wenyeviti wa mitaa walioshia darasa la tatu.

Kama hao wanajeshi wanataka kuuleta ujeshi dhidi ya serikali, si waanze tu? Tunaondoa vi rank, piga court martial, fukuza kazi, peleka civil court, funga jela.
 
Jerry anafanya kazi nzuri na wengi tunafurahia. Ila sasa asianze kuvimba kichwa, huyo mwananchi ndiyo kafanya yeye kuchaguliwa huo uwaziri wake.

VIongozi kujifanya miungu watu, hii haikubaliki. Na mnaomtetea Jerry kwa alichomfanyia, huyo mzee je angekuwa ni mzazi wako? Wazee huwa na story sawa. Angeongea naye nje ya kipaza sauti, mzee samahani, naomba uongee point yako tu.

Hapo kile kiburi chake, kimeanza anamuweka ndani kwa kosa gani? Tena anamtishia na mwananchi mwingine, anayemtetea yule mzee. Anamwambia nawewe unataka kuungana naye?


Tukiwachekea hivi, itafika muda hata ukimtizama, atasema askari weka ndani huyu. Kwanini ananiangalia sana. Jerry mtoe huyo mzee na umuombe samahani. Nimejisikia vibaya sana.
 
Kipumbavu hakijui hata adabu kwa wakubwa sasa mzee amekosa nini hapo? Hao polisi mnaowatumia kama kondomu na wao hawatumii akili. Mimi uniambie OCD chukua huyu nakujibu tu "Msikilize" hutaki mwache aondoke
 
Kwanza kwanini Waziri ana zururazurura wakati yeye wajibu wake ni kusimamia sera na masuala ya management yapo chini ya makamishina wa ardhi Mikoani na Wilayani.
Atazunguka sehemu ngapi,anapaswa kutengeneza mifumo na siyo kila siku kusikiliza kesi!!
 
Hiyo Tanzania ya mwaka gani uwafanyie wajeda?(CCM na JWTZ ni mtu na sweet wake,hawawezi kugombana hapo anaondoka Waziri ndoa inaendelea).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…