Umemuelewa aliandika hivyo kwa nn?So akiwa mjerumani ndio nn? Km anauwezo kwa nn asipewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemuelewa aliandika hivyo kwa nn?So akiwa mjerumani ndio nn? Km anauwezo kwa nn asipewe?
Lisu ni mpuuzi ndiyo maana mbowe alimchapa shaba ili awe kafara ya kumchafua jpm na serikaliPunguza matusi mkuu. Kama Lissu ni mpuuzi je wengine wataitwaje?
Ahaa! Aliwanyima 10% bila shaka. Na wao wakasema mkono mtupu haulambwi.Nasikia ana mkono wa korosho
Mjerumani huyoHuyu mkandarasi wa mwendokas ya kimara ndio alikua fresh anaenda time barabara mpk leo bado zmedumu i think serikal wangempa tu na hizo tender zngne ila tatzo ndio hlo tunapenda vitu vya bei rahis [emoji706]
Mjerumani huyo anaitwa Strabag hatari SanaHuyu mkandarasi wa mwendokas ya kimara ndio alikua fresh anaenda time barabara mpk leo bado zmedumu i think serikal wangempa tu na hizo tender zngne ila tatzo ndio hlo tunapenda vitu vya bei rahis [emoji706]
Financier: World bankHuyu mkandarasi wa mwendokas ya kimara ndio alikua fresh anaenda time barabara mpk leo bado zmedumu i think serikal wangempa tu na hizo tender zngne ila tatzo ndio hlo tunapenda vitu vya bei rahis 🚮
Mchina na MTU mweusi ni mashetaniFinancier: World bank
Contractor: Strabag
Upande wa pili sasa
Financier: AfDB
Contractor: Sino Hydro
Combination ya Mzungu na mzungu lazima itoe kitu kamili bila makandokando. Combination ya Mwafrika na Mchina unafikiri huwa inatoa nini?!
[emoji16][emoji16][emoji16]nchi hii aisee.yaanj nikikumbuka strabag wameanza kuchimba barabara na hiki wanafanya hawa jamaa najikuta nacheka tu japo sijui hata greda linakodishwa shingapi kwa saa.Financier: World bank
Contractor: Strabag
Upande wa pili sasa
Financier: AfDB
Contractor: Sino Hydro
Combination ya Mzungu na mzungu lazima itoe kitu kamili bila makandokando. Combination ya Mwafrika na Mchina unafikiri huwa inatoa nini?!
Aliyejenga BRT ya kimara ni Straberg wajerumani hao, mradi huo wa BRT ya kimara ulikuwa unafadhiliwa na worldbank, huu wa sasa naona unafadhiliwa na serikali ndio maana wanapewa tenda wachina, straberg ni mjerumani hawawezi kumlipa.Huyu mkandarasi wa mwendokas ya kimara ndio alikua fresh anaenda time barabara mpk leo bado zmedumu i think serikal wangempa tu na hizo tender zngne ila tatzo ndio hlo tunapenda vitu vya bei rahis 🚮
Huo ndo usalama wa taifa wa nchi hii.. kazi yao ni kupambana na Chadema tu. Siku Chadema wakiingia madarakani watajiona ni wajinga sana, kupoteza muda mrefu kupambana na mambo ya kijinga yasiyoweza kuzuilika. Hata hawajifunzi kwa nchi kama Malawi, Zambia na Kenya, ilipofika muda wa upinzani kuingia madarakani havizuiliki! Wacha waendelee kushupaza shingo tu!Tunabishana kati ya Mjerumani na Mchina nani atujengee njia ya zege!
Mchina anatuma ma spy scientists wakaibe ma ufundi kwenye maabara ya makampuni ya pharmaceuticals, BOEING, NASA, ma FBI, na ma vyuo ya USA. Sisi wanakuja Wachina wanamwaga zege barabarani tunashindwa hata kudesa wamechimba futi ngapi, wamepanga vyuma vya nchi ngapi vingapi, kokoto na cement ratio gani, ametumia pipe level au kifaa gani cha kupima level, kwenye bonde anafanyaje....
Hatuwezi...
Waalimu wa Civil Engineering kazi kuanjia ngono za wanafunzi, intelligence service kazi kusaka "wajuaji wa upinzani" wawaue!
Mkono. wa birika,roho ua korosho.Nasikia ana mkono wa korosho
Hatoi rushwa ndio sababu hajapewa kazi nyingne ya mwendokasi.Huyu mkandarasi wa mwendokas ya kimara ndio alikua fresh anaenda time barabara mpk leo bado zmedumu i think serikal wangempa tu na hizo tender zngne ila tatzo ndio hlo tunapenda vitu vya bei rahis 🚮
Kabisa mkuu hapo nimekusoma Alafu kulikuwa na huyu China Civil Engineering Kwenye mwendokas ya kimara Hivi alikuwa anahusika na nini haswa!?Financier: World bank
Contractor: Strabag
Upande wa pili sasa
Financier: AfDB
Contractor: Sino Hydro
Combination ya Mzungu na mzungu lazima itoe kitu kamili bila makandokando. Combination ya Mwafrika na Mchina unafikiri huwa inatoa nini?!
Hao jamaa walikua seriously sana Pamoja na mradi kuwa mrefu lakini walienda na Mda leo, hawa wengine nasikia mda wa mkataba unaisha na hawajafika ata 90% ya ujenzi[emoji16][emoji16][emoji16]nchi hii aisee.yaanj nikikumbuka strabag wameanza kuchimba barabara na hiki wanafanya hawa jamaa najikuta nacheka tu japo sijui hata greda linakodishwa shingapi kwa saa.
Aiseh ngumu kumlipa mzigo unadumu sanaAliyejenga BRT ya kimara ni Straberg wajerumani hao, mradi huo wa BRT ya kimara ulikuwa unafadhiliwa na worldbank, huu wa sasa naona unafadhiliwa na serikali ndio maana wanapewa tenda wachina, straberg ni mjerumani hawawezi kumlipa.
Sifahami mkuu. Nakumbuka consultant alikuwa SMEC...Australian company yaani hamna lingo longoKabisa mkuu hapo nimekusoma Alafu kulikuwa na huyu China Civil Engineering Kwenye mwendokas ya kimara Hivi alikuwa anahusika na nini haswa!?
Pamoja na yote serikali ilitakiwa isimpe maana keshaonesha hawezi kwenye mradi wa maji....Financier: World bank
Contractor: Strabag
Upande wa pili sasa
Financier: AfDB
Contractor: Sino Hydro
Combination ya Mzungu na mzungu lazima itoe kitu kamili bila makandokando. Combination ya Mwafrika na Mchina unafikiri huwa inatoa nini?!