Jerry Silaa: Kampuni ya Sino Hydro walipewa tenda nyingine ya BRT licha ya Kuboronga mradi wa awali

Jerry Silaa: Kampuni ya Sino Hydro walipewa tenda nyingine ya BRT licha ya Kuboronga mradi wa awali

Huyu mkandarasi wa mwendokas ya kimara ndio alikua fresh anaenda time barabara mpk leo bado zmedumu i think serikal wangempa tu na hizo tender zngne ila tatzo ndio hlo tunapenda vitu vya bei rahis [emoji706]
Nadhani alikua strabag construction company wako vzr angalau cjui kwann wasibalance ugawaji tenda Ili tujue yuko vzr
 
Yuko sahii Sana kampuni hi Ni ya kimpumbafu Saba kipande kidgo mpk Cha keko magomeni ameshindwa

Arudishwe starbagi
Strabag nadhani aligombana na utawala uliopita maana hata miradi yake mingine alisimama ktk utawala uliopita
 
Narejea katika hoja yangu ya msingi ya utaratibu wa kutoa zabuni zisizokuwa na ushindani kupitia (single source). Katika hili, TANROADS ndiye procurement entity na ndiyo wanaanda nyaraka za zabuni na kuweka sifa aa muombaji. Kwamba hawajui SINOHYDRO wamekosa sifa? RUSHWA?
Rushwa ndyo adui wa bara la Africa
 
Back
Top Bottom