Jerry Silaa hana lolote kazi alizokuwa akizifanya pale Ardhi ni kazi Mahakama na mabaraza ya ardhi.Raisi kakosea kumtoa huyu kwenye hii wizara ni ngumu kupata mtu anajua zaidi yake matatizo ya Ardhi
Matapeli wa Viwanja mnavyopenda Mahakama na Mabaraza ya Aridhi kisa tu muhalalishiwe dhuluma zenu mnazofanya kwa watu! Mmeshindwa kumuhonga Jerry mmebaki kumchukia!!Jerry Silaa hana lolote kazi alizokuwa akizifanya pale Ardhi ni kazi Mahakama na mabaraza ya ardhi.
Jerry kama Waziri alikuwa hajui anafanya nini zaifi ya kutafuta jukwaa la kukuza jina lake na hili kafanikiwa haswa kuwapata wajinga wajinga kama wewe.
No one is indispensable, hivyo sii kweli kuwa hakuna mtu anajua mambo ya ardhi zaidi ya Jerry, watu ila hawajatafutwa, uwaziri hauombwi na hauna usaili!.Raisi kakosea kumtoa huyu kwenye hii wizara ni ngumu kupata mtu anajua zaidi yake matatizo ya Ardhi
MmmmRaisi kakosea kumtoa huyu kwenye hii wizara ni ngumu kupata mtu anajua zaidi yake matatizo ya Ardhi
slaa sio kwamba alikuwa anajua, ni rahisi sana, unaita kamishna wa ardhi, chagua case moja mbili tatu, anapewa lecture na picha halisi, anaenda eneo la tukio anajua kila kitu, akihojiana na raia unafikiri anajua matatizo yote kumbe kalala jana amekariri kama form one anayekariri achimedes principle. hayo mambo sio magumu kama mnavyofikiri kwasababu chini yake ana watendaji wazoefu kuliko yeye wanaomsaidia kufanya kazi.Raisi kakosea kumtoa huyu kwenye hii wizara ni ngumu kupata mtu anajua zaidi yake matatizo ya Ardhi
Matapeli wa Viwanja mnavyopenda Mahakama na Mabaraza ya Aridhi kisa tu muhalalishiwe dhuluma zenu mnazofanya kwa watu! Mmeshindwa kumuhonga Jerry mmebaki kumchukia!!
Kuwa waziri mzuri hakuhitaji kutumia nguvu sana na a lot of publicity… Huenda ata waliomtangulia walikuwa na impact kubwa kuliko ata yeye lakini walikuwa hawapendi attention za media kama yeye . However migogoro ya Ardhi haimaliziki kwa kutumia sana nguvu bali burasa na utulivu wa kuelewa kiini cha migogoro . Alifanya kadri awezavyo lakini sio Sawa kusema ni makosa. Mh Raisi anamacho Mengi na anajua zaidi why kamtoa hapo . Sijajua kwa nini nguvu kubwa inatumika katika hili….Raisi kakosea kumtoa huyu kwenye hii wizara ni ngumu kupata mtu anajua zaidi yake matatizo ya Ardhi
Kuwa waziri mzuri hakuhitaji kutumia nguvu sana na a lot of publicity… Huenda ata waliomtangulia walikuwa na impact kubwa kuliko ata yeye lakini walikuwa hawapendi attention za media kama yeye . However migogoro ya Ardhi haimaliziki kwa kutumia sana nguvu bali burasa na utulivu wa kuelewa kiini cha migogoro . Alifanya kadri awezavyo lakini sio Sawa kusema ni makosa. Mh Raisi anamacho Mengi na anajua zaidi why kamtoa hapo . Sijajua kwa nini nguvu kubwa inatumika katika hili….
Wapo mawaziri wengi mfano Simbachawene na wana utulivu wa hali ya juu na impact kubwa , sasa mpaka waonekane wakifokea wananchi Ndo wawe bora ???
Anyway mimi naona alikopelekwa panamfaa zaidi !
Tafiti zinaonesha asilimia 10 tu ya migogoro ya Ardhi inasababishwa na waliopo ndani ya Wizara hiyo .. hizo asilimia nyingine ni vyanzo vingine nje ya watumishi. Mfano tangu Jerry akiwa Waziri ni wapi ilionekana wezi ni watumishi wake ? Hukumbuki aliwataja matapeli wakubwa na hawakuwa watumishi??? Wananchi wanaovamia maeneo ya hifadhi nao ni watumishi? Wenye migogoro ya mirathi ni sababu ya watu wa ndani ? Naamini ukianalyse yote hayo jibu ni HAPANA !Tatizo la hii wizara wezi wakubwa wapo ndani ya hiyo wizara. Billa mtu kama Jerry hii wizara matatizo hayata isha leo
Hakuna waziri wananchi walioteseka miaka mingi wamemuelewa wizara ya ardhi kama Jerry Slaa. Ile publicity ilifanya mpaka wale wazulumaji wa ardhi wengi waliogopa au kupisha viwanja visivyo vyao. Hata Magufuli alitengeneza fear kwa mafisadi na watu walishika adabu.
magereza zilajaa wahuni na matapeli wasomi.
Ndugu yangu nisome unielewe.Matapeli wa Viwanja mnavyopenda Mahakama na Mabaraza ya Aridhi kisa tu muhalalishiwe dhuluma zenu mnazofanya kwa watu! Mmeshindwa kumuhonga Jerry mmebaki kumchukia!!
Wazee huwa mnakuja after effectRaisi kakosea kumtoa huyu kwenye hii wizara ni ngumu kupata mtu anajua zaidi yake matatizo ya Ardhi
Jeshini wanasemaga hakuna mtu muhimu….yoyote anaweza fanya kazi unayofanya wewe anytimeNo one is indispensable, hivyo sii kweli kuwa hakuna mtu anajua mambo ya ardhi zaidi ya Jerry, watu ila hawajatafutwa, uwaziri hauombwi na hauna usaili!.
Kitu ambacho nakubaliana na wewe, Jerry did the best, amethubutu, ni kweli watu wenye uthubutu wa kiwango hicho ni wa kutafuta kwa tochi!.
Pia naunga mkono hoja yako its wrong kumteua mtu na kumtoa baada ya too short time, and he was the best performer, kama Konda Boy was the best kwenye uenezi na akatolewa baada ya muda mfupi.
Ukiwa unataka kwenda safari lakini hujui unataka kwenda wapi, huwezi kujua utumie njia gani, ili ufike kwasababu hujui unakwenda wapi, matokeo yake ni kutanga tanga na hufiki!.
Mimi kama naziona dalili za mtu kutanga tanga kwa mbali, as if baadhi ya teuzi zinafanywa kwa gues work and trial and error, unamteua mtu kumjaribisha hapa kama atafiti, asipofiti, unamuondoa, kitu cha ajabu ni kama hata best performers kama Jerry Ardhi, nae anaondolewa I seriously doubt, kama anajua anataka nini.
Mwanzo nisema tusimlaumu kwa makosa ya kukoseshwa na wasaidizi wake, nikashauri tumpe muda, Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda but as times goes by, nimeanza kujiridhisha kuwa ..
P
Hili suala linampunguzia Mama credit.Raisi kakosea kumtoa huyu kwenye hii wizara ni ngumu kupata mtu anajua zaidi yake matatizo ya Ardhi