Jerry Silaa kutolewa ardhi, tutarajie tena migogoro ya ardhi kuanza kuibuka upya na matapeli wa ardhi kuanza kutembea vifua mbele

Raisi kakosea kumtoa huyu kwenye hii wizara ni ngumu kupata mtu anajua zaidi yake matatizo ya Ardhi
Jerry Silaa hana lolote kazi alizokuwa akizifanya pale Ardhi ni kazi Mahakama na mabaraza ya ardhi.

Jerry kama Waziri alikuwa hajui anafanya nini zaifi ya kutafuta jukwaa la kukuza jina lake na hili kafanikiwa haswa kuwapata wajinga wajinga kama wewe.
 
Matapeli wa Viwanja mnavyopenda Mahakama na Mabaraza ya Aridhi kisa tu muhalalishiwe dhuluma zenu mnazofanya kwa watu! Mmeshindwa kumuhonga Jerry mmebaki kumchukia!!
 
Hii imenikumbusha
Magufuli alipotolewa Wizara ya Ujenzi na kupelekwa Kuhesabu samaki(Mifugo)

Magufuli hakuwa Eng lakini alikuwa anajuwa caravat linatengenezwaje na ubora wake
Alikuwa anajuwa Wizi wote katika tenda za Barabara
 
Raisi kakosea kumtoa huyu kwenye hii wizara ni ngumu kupata mtu anajua zaidi yake matatizo ya Ardhi
No one is indispensable, hivyo sii kweli kuwa hakuna mtu anajua mambo ya ardhi zaidi ya Jerry, watu ila hawajatafutwa, uwaziri hauombwi na hauna usaili!.

Kitu ambacho nakubaliana na wewe, Jerry did the best, amethubutu, ni kweli watu wenye uthubutu wa kiwango hicho ni wa kutafuta kwa tochi!.

Pia naunga mkono hoja yako its wrong kumteua mtu na kumtoa baada ya too short time, and he was the best performer, kama Konda Boy was the best kwenye uenezi na akatolewa baada ya muda mfupi.

Ukiwa unataka kwenda safari lakini hujui unataka kwenda wapi, huwezi kujua utumie njia gani, ili ufike kwasababu hujui unakwenda wapi, matokeo yake ni kutanga tanga na hufiki!.

Mimi kama naziona dalili za mtu kutanga tanga kwa mbali, as if baadhi ya teuzi zinafanywa kwa gues work and trial and error, unamteua mtu kumjaribisha hapa kama atafiti, asipofiti, unamuondoa, kitu cha ajabu ni kama hata best performers kama Jerry Ardhi, nae anaondolewa I seriously doubt, kama anajua anataka nini.

Mwanzo nisema tusimlaumu kwa makosa ya kukoseshwa na wasaidizi wake, nikashauri tumpe muda, Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda but as times goes by, nimeanza kujiridhisha kuwa ..

P
 
slaa sio kwamba alikuwa anajua, ni rahisi sana, unaita kamishna wa ardhi, chagua case moja mbili tatu, anapewa lecture na picha halisi, anaenda eneo la tukio anajua kila kitu, akihojiana na raia unafikiri anajua matatizo yote kumbe kalala jana amekariri kama form one anayekariri achimedes principle. hayo mambo sio magumu kama mnavyofikiri kwasababu chini yake ana watendaji wazoefu kuliko yeye wanaomsaidia kufanya kazi.
 
Matapeli wa Viwanja mnavyopenda Mahakama na Mabaraza ya Aridhi kisa tu muhalalishiwe dhuluma zenu mnazofanya kwa watu! Mmeshindwa kumuhonga Jerry mmebaki kumchukia!!
Raisi kakosea kumtoa huyu kwenye hii wizara ni ngumu kupata mtu anajua zaidi yake matatizo ya Ardhi
Kuwa waziri mzuri hakuhitaji kutumia nguvu sana na a lot of publicity… Huenda ata waliomtangulia walikuwa na impact kubwa kuliko ata yeye lakini walikuwa hawapendi attention za media kama yeye . However migogoro ya Ardhi haimaliziki kwa kutumia sana nguvu bali burasa na utulivu wa kuelewa kiini cha migogoro . Alifanya kadri awezavyo lakini sio Sawa kusema ni makosa. Mh Raisi anamacho Mengi na anajua zaidi why kamtoa hapo . Sijajua kwa nini nguvu kubwa inatumika katika hili….

Wapo mawaziri wengi mfano Simbachawene na wana utulivu wa hali ya juu na impact kubwa , sasa mpaka waonekane wakifokea wananchi Ndo wawe bora ???
Anyway mimi naona alikopelekwa panamfaa zaidi !
 
Tatizo la hii wizara wezi wakubwa wapo ndani ya hiyo wizara. Billa mtu kama Jerry hii wizara matatizo hayata isha leo
 
Tafiti zinaonesha asilimia 10 tu ya migogoro ya Ardhi inasababishwa na waliopo ndani ya Wizara hiyo .. hizo asilimia nyingine ni vyanzo vingine nje ya watumishi. Mfano tangu Jerry akiwa Waziri ni wapi ilionekana wezi ni watumishi wake ? Hukumbuki aliwataja matapeli wakubwa na hawakuwa watumishi??? Wananchi wanaovamia maeneo ya hifadhi nao ni watumishi? Wenye migogoro ya mirathi ni sababu ya watu wa ndani ? Naamini ukianalyse yote hayo jibu ni HAPANA !
Let’s be Positive , Tuache Waziri mpya naye aendeshe usukani…
 
Amekula nyingi kwa muda mfupi, alikuwa anatembea viunga vya matajiri kama Mikocheni, Mbezi, Mbweni, mikoa mitamu mitamu kama Arusha, Mwanza, Dodoma ambako anaweza kupata chochote, alitelekeza kabisa kamati ya kitaifa ya utatuzi wa migogoro ya ardhi ambayo ililenga vijijini. Sasa vijijini wangempa nini na yeye anatafuta chochote kwa ajili ya kampeni
 
Hakuna waziri wananchi walioteseka miaka mingi wamemuelewa wizara ya ardhi kama Jerry Slaa. Ile publicity ilifanya mpaka wale wazulumaji wa ardhi wengi waliogopa au kupisha viwanja visivyo vyao. Hata Magufuli alitengeneza fear kwa mafisadi na watu walishika adabu.
magereza zilajaa wahuni na matapeli wasomi.
 
Hii inaonyesha migogoro ya ardhi ilikuwa mingi, tuombe aliyechukua kijiti moto wake ukoje.
 
Hakuna waziri wananchi walioteseka miaka mingi wamemuelewa wizara ya ardhi kama Jerry Slaa. Ile publicity ilifanya mpaka wale wazulumaji wa ardhi wengi waliogopa au kupisha viwanja visivyo vyao. Hata Magufuli alitengeneza fear kwa mafisadi na watu walishika adabu.
magereza zilajaa wahuni na matapeli wasomi.

..hata William Lukuvi alikuwa na utaratibu kama wa Jerry Slaa.

..William Lukuvi alidumu ktk wizara kwa miaka 6 lakini alipoondoka Jerry Slaa amekuta madudu mengi ktk wizara hiyo.

..Ninachojaribu kujiuliza ni kama matatizo ktk wizara ya ardhi yanaweza kumalizwa na aina ya mawaziri kama Lukuvi,na Slaa.
 
Joka kuu despite slaa alikuwa anafanya kisiasa na kupata mileage lakini alikuwa anakumbusha umma na watumishi kwamba mifumo ipo lakini haifuatwi sababu ya rushwa na amri kutoka juu.
Ilkuwa ni alarm kwa bosi wake kusimamia mifumo ifanye kazi yaani mahakama na mabaraza ya ardhi apmoja na watumishi watende kwa weledi sio utapeli.
Kuna mama alikuwa WHO kazulumiwa kiwanja pale ilipo bilionea club mikocheni mwaka wapata wa 20 na document zote anazo.
Impact ya matatizo haya hata diaspora wanaogopa kununua ardhi kwa kuogopa kuzurumiwa na matapeli kama kina mushi, msama, n.k
 
Wito wangu kwa serikali tunahitaji watu wajenge kufuata mawe ya viwanja Tunahitaji service road kuanzia mwenge mpaka bagamoyo zijulikane na zifanye kazi yake. Kama tegeta kumekuwa na usumbufu sana kwa kukosa service roads.
 
Matapeli wa Viwanja mnavyopenda Mahakama na Mabaraza ya Aridhi kisa tu muhalalishiwe dhuluma zenu mnazofanya kwa watu! Mmeshindwa kumuhonga Jerry mmebaki kumchukia!!
Ndugu yangu nisome unielewe.
Tunatakuwa kupambana na mifumo mibovu,Mahakama na mabaraza ya ardhi yanatakiwa kumulikwa kutazamwa kwanini yanashindwa kutoa haki.

Hizi habari za kuhangaika na watu badala ya mifumo ndio sababu Tanganyika bado tuko nyuma sana.Unawezaje kutatua matatizo kwa kutegemea mtu (Jerry) badala ya mifumo bora ?.
 
No one is indispensable, hivyo sii kweli kuwa hakuna mtu anajua mambo ya ardhi zaidi ya Jerry, watu ila hawajatafutwa, uwaziri hauombwi na hauna usaili!.

Kitu ambacho nakubaliana na wewe, Jerry did the best, amethubutu, ni kweli watu wenye uthubutu wa kiwango hicho ni wa kutafuta kwa tochi!.

Pia naunga mkono hoja yako its wrong kumteua mtu na kumtoa baada ya too short time, and he was the best performer, kama Konda Boy was the best kwenye uenezi na akatolewa baada ya muda mfupi.

Ukiwa unataka kwenda safari lakini hujui unataka kwenda wapi, huwezi kujua utumie njia gani, ili ufike kwasababu hujui unakwenda wapi, matokeo yake ni kutanga tanga na hufiki!.

Mimi kama naziona dalili za mtu kutanga tanga kwa mbali, as if baadhi ya teuzi zinafanywa kwa gues work and trial and error, unamteua mtu kumjaribisha hapa kama atafiti, asipofiti, unamuondoa, kitu cha ajabu ni kama hata best performers kama Jerry Ardhi, nae anaondolewa I seriously doubt, kama anajua anataka nini.

Mwanzo nisema tusimlaumu kwa makosa ya kukoseshwa na wasaidizi wake, nikashauri tumpe muda, Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda but as times goes by, nimeanza kujiridhisha kuwa ..

P
Jeshini wanasemaga hakuna mtu muhimu….yoyote anaweza fanya kazi unayofanya wewe anytime
 
Back
Top Bottom