Naibu Waziri Mkuu wa Majaliwa KasimMwaka gani tena Bashungwa alikuwa naibu wa waziri mkuu?
Kama Mrema alivyo ukwaa wakati Rais akiwa Mwinyi
Marekibishi ruksa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naibu Waziri Mkuu wa Majaliwa KasimMwaka gani tena Bashungwa alikuwa naibu wa waziri mkuu?
Nafikiri wewe unamzungumzia mhe Doto Biteko na sio Vicent Bashungwa.Naibu Waziri Mkuu wa Majaliwa Kasim
Kama Mrema alivyo ukwaa wakati Rais akiwa Mwinyi
Marekibishi ruksa
Na kwanini raisi akubali ushauri wa hovyo kutoka kwa watu wa hovyo?Niaje waungwana
Japo hakuna mtu mwenye dhamana ya kumpangia raisi kile anachoamua, lakini katika hili la kumtoa Silaa ardhi na kwenda kumtupa huko kwenye habari kwa kweli Rais wetu amefanya kosa la kiufundi sana.
Jerry alikuwa ashaanza kuwashughulikia vibaka na matapeli wa ardhi wote, yaani mmoja baada ya mwingine hadi kupelekea wengine kutupwa ndani. Sasa leo anapotolewa na kupelekwa wizara nyingine ni kuwapa nafasi wale wote waliokuwa washaanza kurudisha ardhi walizotapeli kabla kiama hakijawashukia waendelee nazo na pengine kuendelea kutapeli na zingine kwani aliekuwa anawapa tumbo joto kaondolewa na kupelekwa kungine.
Najiuliza, kwanini hiyo wizara ya habari asingepewa hata Mwana FA, ili Silaa aendelee kuwanyoosha wezi na vibaka wa ardhi za watu!
Anyway acha tuone mwisho wa game utakuaje. Lakini mama kama unatusikia na kufanikiwa kusoma uzi huu tafadhali TUNAOMBA (kwa herufi kubwa) UMRUDISHE JERRY SILAA W/ ARDHI 🙏🙏
Kumbuka ni mwanasheria hiyo nayo ukichangany na uthubutu alikuwa naenda vizuei sanaslaa sio kwamba alikuwa anajua, ni rahisi sana, unaita kamishna wa ardhi, chagua case moja mbili tatu, anapewa lecture na picha halisi, anaenda eneo la tukio anajua kila kitu, akihojiana na raia unafikiri anajua matatizo yote kumbe kalala jana amekariri kama form one anayekariri achimedes principle. hayo mambo sio magumu kama mnavyofikiri kwasababu chini yake ana watendaji wazoefu kuliko yeye wanaomsaidia kufanya kazi.
ikubwUnajua kwa nini alikuwa anatumia muda mwingi mikocheni, mbweni, kariakoo, Mwanza,Morogoro, Dodoma,Arusha? Huko alikuwa analazimisha Makamishna wa Ardhi wampe viwanja vya bure, na akienda maeneo potential kama Mikocheni na kwingine, apewe cha juu kwa kumtisha tajiri
Sehemu kama Kintinku, Gairo, au Manyoni na Mpanda humuoni
Hivi huoni land clinic kama ni mfumo? Waliopita miaka yote wameweka mfumo Gani.Shida siyo mifumo bali utashi wa watu kufanya kazi kuhakikisha mifumo inatendewa hakiHuwa unakesha humu JF halafu hujui kwamba nchi ni mifumo! Watu tumesema hapa Jerry hatengenezi mifumo, anafanya show binafsi, kisha anapata milungula. Sasa Wizara imebaki kama ilivyo, hakuna substantial system aliyotengeneza
Sasa wewe mbuzi, migogoro ya hifadhi za wanayama na mapori na wananchi iko mijini? Vijiji na vijiji, wilaya na wilaya, taasisi na wananchi, amepeleka moto wa konyoAcha uwongo,,migogoro ya ardhi ipo miji miji mikubwa siyi vijijini amabpo ardhi haina thamani. We chiembe mjinga sana sbb viongozi wenginna majizi wengi wamejegemeza kwenye CCM sasa Silaa anaonaekna mbaya sbb kawapelekea moto hata wanaccm wenyewe.Mungu amubariki sana
ikubw
yule sio mwanasheria, hana uzoefu wowote wa mahakamani, mwanasheria ukisoma degree bila practice ni sawa na law graduate asiye na meno kabisa. tuambie, alishawahi kusimamia kesi ipi, ya nani, na wapi.Kumbuka ni mwanasheria hiyo nayo ukichangany na uthubutu alikuwa naenda vizuei sana
Usitumie kichwa kubebea kamasi, land clinic sio mfumo, mifumo yote imeundiwa sheriaHivi huoni land clinic kama ni mfumo? Waliopita miaka yote wameweka mfumo Gani.Shida siyo mifumo bali utashi wa watu kufanya kazi kuhakikisha mifumo inatendewa haki
Maamuzi yake mara zote yamekua yakiingilia muhimili wa mahakama...Niaje waungwana
Japo hakuna mtu mwenye dhamana ya kumpangia raisi kile anachoamua, lakini katika hili la kumtoa Silaa ardhi na kwenda kumtupa huko kwenye habari kwa kweli Rais wetu amefanya kosa la kiufundi sana.
Jerry alikuwa ashaanza kuwashughulikia vibaka na matapeli wa ardhi wote, yaani mmoja baada ya mwingine hadi kupelekea wengine kutupwa ndani. Sasa leo anapotolewa na kupelekwa wizara nyingine ni kuwapa nafasi wale wote waliokuwa washaanza kurudisha ardhi walizotapeli kabla kiama hakijawashukia waendelee nazo na pengine kuendelea kutapeli na zingine kwani aliekuwa anawapa tumbo joto kaondolewa na kupelekwa kungine.
Najiuliza, kwanini hiyo wizara ya habari asingepewa hata Mwana FA, ili Silaa aendelee kuwanyoosha wezi na vibaka wa ardhi za watu!
Anyway acha tuone mwisho wa game utakuaje. Lakini mama kama unatusikia na kufanikiwa kusoma uzi huu tafadhali TUNAOMBA (kwa herufi kubwa) UMRUDISHE JERRY SILAA W/ ARDHI 🙏🙏
Ni kama vile anawaamini sana washauri wake hata kama wanampotosha. Sasa tusubiri kuona wale matapeli aliowanyang'anya ardhi za wizi wakizirudisha tena ardhi hizo katika mikono yao.Na kwanini raisi akubali ushauri wa hovyo kutoka kwa watu wa hovyo?
AmiinAcha uwongo,,migogoro ya ardhi ipo miji miji mikubwa siyi vijijini amabpo ardhi haina thamani. We chiembe mjinga sana sbb viongozi wenginna majizi wengi wamejegemeza kwenye CCM sasa Silaa anaonaekna mbaya sbb kawapelekea moto hata wanaccm wenyewe.Mungu amubariki sana
ikubw
Achana nae tapeli wa ardhi huyo. Sisi tutapambana hadi kuhakikisha Silaa anarudishwa ardhi tu.Hivi huoni land clinic kama ni mfumo? Waliopita miaka yote wameweka mfumo Gani.Shida siyo mifumo bali utashi wa watu kufanya kazi kuhakikisha mifumo inatendewa haki
Kuna kesi ambazo zipo mahakamani kwa zaidi ya miaka 20 bila kutolewa maamuzi. Sasa kama mahakamani hawatafuti mwanya wa kupewa rushwa na matapeli ili wapindue haki ni nini?Maamuzi yake mara zote yamekua yakiingilia muhimili wa mahakama...