mzeempili
JF-Expert Member
- Aug 16, 2021
- 327
- 531
Tatizo la Jerry Slaa ni uwajilishi hafifu wa jimbo analowakilisha la Ukonga.
Barabara kuu za majimbo mengine yote ya Dar es Salaam zimekamilika kwa lami, na sasa wapo kwenye barabara za mitaa, isipokuwa Ukonga. Jimbo la Ukonga, barabara kuu na za mitaa bado ni mbovu sana na hazifanyiwi ukarabati.
Jimbo la Ukonga ni mojawapo ya majimbo ya Dar es Salaam yenye usambazaji kidogo sana wa maji safi, pamoja na ahadi kibao za serikali.
Jerry Slaa hafuatilii huko jimboni kwake, anadandia mambo ya kitaifa yenye utata kujipatia umaarufu wa kwenye mitandao.
Jerry, be humble, watumikie waliokupigia kura.