Jerry Silaa kwa CV hii umestahili kubeba vitabu hivyo

Jerry Silaa kwa CV hii umestahili kubeba vitabu hivyo

Kama kuwa na mavyeti mengi ni sifa mie ningesoma kila mwaka mpaka nafika 40 yrs nina magamba kibao! Ila yote hayo kama huna mishe we ni zaidi ya kilaza mjini[emoji28]
Kwa hiyo sisi tunaokomaa kutengeneza cv ni mafala au siyo??!!.
 
Mtu akiwa kibajaji mnahoji, mtu akisoma sana bado mnahoji.
Mnataka watu gani ?
Tumpongeze jamaa kwa kuwa na moyo kumudu kusoma.
Wengine hu DISCO digrii ya kwanza tu.
Yap anastahili pongezi aixee
 
Elimu ya makaratasi, upstairs mweupe tu, hana competency yoyote hata katika field yake, muulize kama hata hiyo elimu yake kafanyia wapi kazi, kuwa Meya sio kazi ya kitaaluma, so ni muokota vyeti tu, meaning he doesn't know exactly what he is up for, non-directional.

Kaitwa tu na kamati ya bunge kabeba vitabu hadi vya secondary, very low IQ huyu. Meaning kichwani hakuna kitu.
 
Hayo mavyeti anaweza tafutia sifa kwa mkewe ila sisi mtaani hayana maana kama hakuna pesa
Ndio yaliompa ubunge sio kama kina kibajaji wanapata ubunge kwa majungu,rushwa, kujipendekeza na uchawi.
Elimu imemuweka hapo kataa kubali.
 
Una hela mzee? Kama una michongo ya hela ndefu we ni mjanja ila kama una miliki makaratasi tu we ni falaaa[emoji28][emoji28][emoji28]
Dah!!!,Nimekubali kuwa fala, kwasababu nipo nakula msuli wa kitabu lkn Sina mbele wala Nyuma.Hebu nishauri ndugu yangu nifanyeje ili nibadili mtizamo.
 
Kwao hasa nchi za German, Austria, na Switzerland, ukisikia Diploma maana yake ni Degree. Hivyo hilo neno Diploma usilichukulie poa.
Unaposoma mambo usijitafsirie kivyako vyako tu, jaribu kuelewa mwandishi ana maana gani. Mojawapo ya mambo yanayojadiliwa hapa ni wingi wa vyeti vya Silaa na jinsi asivyoonyesha kuelemikia; mimi nimeonyesha kuwa Genious Einstein alikuwa ana vyeti viwili tu kwa nia ya kuonyesha kuwa vyeti vingi siyo reflection ya mtu kuwa na akili, sikuonyesha popote kudharau diploma yake. Sasa wewe unakuja kunifundisha mambo ambayo sikukuomba. Elewa kuwa mimi nilifundishwa na waalimu wa kijerumani hapo kitivo cha uhandisi UDSM ambao digrii zao zilikuwa ni Dip-Eng, Dr-Eng. Unadhani kweli sijui maana ya diploma kwa kijerumani?
 
Back
Top Bottom