Jerry Silaa kwa CV hii umestahili kubeba vitabu hivyo

Jerry Silaa kwa CV hii umestahili kubeba vitabu hivyo

Na CPA loading hongera sana Mkuu.View attachment 1906643
Sasa Kwa mavyeti yooote hayo alafu amebeba vitabu utafikiri anawasilisha utafiti WA chanjo ya Corona. Tafsiri ya mavitabu yoote Yale ni kwamba kichwani kweupe. Vijana acheni kusoma kupata vyeti na MaGPA someni kupata maarifa. Mahojiano ya masaa matatu au manne unabeba vitabu vya rejea begi zima plus laptop.
 
Ila hawa walio hojiwa wana biti kila mtu anaingia na mkwara wake.
 
Hata angeenda na lori limejaa vitabu,ningeona the same as futuhi on the stage
It's MATAGA on duty!
 
Kwenye hili la shule nimemkubali, jamaa ni mbaya hafai. Kichwa kimetulia. Mimi nikiona mtu ametafuna na kumeza hadi Electronics ya UDSM, lazima tu ninyooshe mikono
Yap jamaaa yupo Nondo..
 
Huyu Jerry mda mrefu katumia kusoma na hana experience ya kazi huyo
 
Usipowalamba miguu miccm utabaki na CV zako kabatini tu
Mkuu kwa usichokijua marehemu silaha(Baba yake na Jerry) ashawahi kua mjumbe wa NEC.

Kwahyo Jerry Ni mtoto wa chama na amekulia katika misingi ya chama kitambo.

Hata kipindi akiwa Meya amefanya makubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Master's of Business administration
2.Masters of Law
3.Postgraduate diploma

4.Bachelor of Electronics and communication Engineering.
4.Bachelor of Law
5.Certificate In law

Ha ha ha nimefurahi sana ,mtahira tuko wengi.Kusoma ni kipaji watuache .
Mtu akiwa kibajaji mnahoji, mtu akisoma sana bado mnahoji.
Mnataka watu gani ?
Tumpongeze jamaa kwa kuwa na moyo kumudu kusoma.
Wengine hu DISCO digrii ya kwanza tu.
 
Mtu akiwa kibajaji mnahoji, mtu akisoma sana bado mnahoji.
Mnataka watu gani ?
Tumpongeze jamaa kwa kuwa na moyo kumudu kusoma.
Wengine hu DISCO digrii ya kwanza tu.
Mkuu hukunielewa Mimi niko kama yeye nimepongeza sana!Mimi pia Niko hivyo .
 
Back
Top Bottom