Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Kwa hiyo sisi tunaokomaa kutengeneza cv ni mafala au siyo??!!.Kama kuwa na mavyeti mengi ni sifa mie ningesoma kila mwaka mpaka nafika 40 yrs nina magamba kibao! Ila yote hayo kama huna mishe we ni zaidi ya kilaza mjini[emoji28]
Yap anastahili pongezi aixeeMtu akiwa kibajaji mnahoji, mtu akisoma sana bado mnahoji.
Mnataka watu gani ?
Tumpongeze jamaa kwa kuwa na moyo kumudu kusoma.
Wengine hu DISCO digrii ya kwanza tu.
Una hela mzee? Kama una michongo ya hela ndefu we ni mjanja ila kama una miliki makaratasi tu we ni falaaa😅😅😅Kwa hiyo sisi tunaokomaa kutengeneza cv ni mafala au siyo??!!.
Hayo mavyeti anaweza tafutia sifa kwa mkewe ila sisi mtaani hayana maana kama hakuna pesaNa CPA loading hongera sana Mkuu.View attachment 1906643
Ndio yaliompa ubunge sio kama kina kibajaji wanapata ubunge kwa majungu,rushwa, kujipendekeza na uchawi.Hayo mavyeti anaweza tafutia sifa kwa mkewe ila sisi mtaani hayana maana kama hakuna pesa
What do you do sky?Mimi kila mwaka nina graduate na vyeti vya mandatory training.
I’m a Toilet cleanerWhat do you do sky?
Kwao hasa nchi za German, Austria, na Switzerland, ukisikia Diploma maana yake ni Degree. Hivyo hilo neno Diploma usilichukulie poa.
Good for you.I’m a Toilet cleaner
Dah!!!,Nimekubali kuwa fala, kwasababu nipo nakula msuli wa kitabu lkn Sina mbele wala Nyuma.Hebu nishauri ndugu yangu nifanyeje ili nibadili mtizamo.Una hela mzee? Kama una michongo ya hela ndefu we ni mjanja ila kama una miliki makaratasi tu we ni falaaa[emoji28][emoji28][emoji28]
Unaposoma mambo usijitafsirie kivyako vyako tu, jaribu kuelewa mwandishi ana maana gani. Mojawapo ya mambo yanayojadiliwa hapa ni wingi wa vyeti vya Silaa na jinsi asivyoonyesha kuelemikia; mimi nimeonyesha kuwa Genious Einstein alikuwa ana vyeti viwili tu kwa nia ya kuonyesha kuwa vyeti vingi siyo reflection ya mtu kuwa na akili, sikuonyesha popote kudharau diploma yake. Sasa wewe unakuja kunifundisha mambo ambayo sikukuomba. Elewa kuwa mimi nilifundishwa na waalimu wa kijerumani hapo kitivo cha uhandisi UDSM ambao digrii zao zilikuwa ni Dip-Eng, Dr-Eng. Unadhani kweli sijui maana ya diploma kwa kijerumani?Kwao hasa nchi za German, Austria, na Switzerland, ukisikia Diploma maana yake ni Degree. Hivyo hilo neno Diploma usilichukulie poa.