Jerry Silaa na matumizi mabaya ya Madaraka: Waziri kapata wapi mamlaka kuwaweka mahabusu watanzania?

Jerry Silaa na matumizi mabaya ya Madaraka: Waziri kapata wapi mamlaka kuwaweka mahabusu watanzania?

Jerry hakua mtu wa kukaa kwa office achaa uwongo, Jerry alikua anaonekana full time yuko site kutatua migogoro ya Aridhi, ndiyo maana hadi Mama kapenda ubunifu wake wa zile clinics zake za Aridhi, na kweli matapeli wa Aridhi kila wakisikia Jerry leo ana clinic eneo lao,basi matumbo ya kuhara yanawashika ghafla, na mwamba akija kweli anapita nao matapeli wote! MUNGU amtangulie kwa kila jambo Muheshimiwa Jerry, kawasaidia wanyonge wengi sana waliodhulumiwa na matapeli wa Aridhi!!
Chukua maneno yangu
 
Mtanikumbuka 😂🔥
On that front hakuna tofauti baina ya then and now ni mwendelezo wa huu upuuzi ambao naweza sema JPM alikuwa muasisi..., Tatizo mazuri yake wameyaacha wamechukua mabaya na kuongeza mabaya yao... matokeo ni better then than now
 
Back
Top Bottom