Jerry Silaa na matumizi mabaya ya Madaraka: Waziri kapata wapi mamlaka kuwaweka mahabusu watanzania?

Jerry Silaa na matumizi mabaya ya Madaraka: Waziri kapata wapi mamlaka kuwaweka mahabusu watanzania?

Jamaa hajui kuongea na authority.
Umevamia eneo, unaulizwa swali unaanza kupiga chenga na kuleta madharau.
Mimi naona Jerry Slaa yupo sawa. Imevamia eneo la serikali, utakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Cha ajabu ni nini hapo?
Can you tell us , where he went wrong? Minister demanded explainations and he was doing that….why detain him for explain himself? What charges will take him to court?
 
Kulingana na katiba ya Tanzania ambayo kiongozi msomi wa sheria Jerry Slaa anatumia, kuambiwa "ngoja kwanza" ni kosa??

Ngoja kwanza ni kosa gani limefanyika. Kwahiyo huyo Slaa yuko sahihi kumkamata mwananchi aliyesema hivyo?
Yes.
Ni dharau na umeshaonywa. Pia wewe ni mvamizi wa eneo la serikali, inatakiwa uwe mnyenyekevu. Ukileta dharau, unaweza kuwa charged gor criminal trespass, yaani ulinuia huku ukijua.
 
Can you tell us , where he went wrong? Minister demanded explainations and he was doing that….why detain him for explain himself? What charges will take him to court?
Amswer ... Not unnecessary explanations.
The crime will of course be criminal trespass.
 
Kama Waziri tayari alikuwa anajua huyo mtu ni mhalifu mvamizi wa ardhi kwa nini alikuwa anafanya majadiliano naye kwa nini police wasingekuwa wamemfungulia hiyo kesi mapema badala yake wanasuburi kuja kupewa amri na Waziri?
Hata hivyo haionekani kwamba Waziri aliamuamrisha OCD amkamate kwa kosa hilo.
Wote pale ni wahalifu. Wapo maelfu.
Kukawa na presidential order ya kuhakiki na kumega hifadhi ya serikali ili hao wavamizi wapewe bipande vya ardhi na tittles.
Yeye tajiri na wenzake wengine hawataki vipande, wana ardhi kubwa, ukiambiwa ujieleze unaleta lugha zisizo za kistaarabu.
So, unarudi kuwa mhalifu na utajieleza mahakamani for criminal trespass.
Mawazo kuwa uwanja wa taifa ni wa serikali basi tucheze bure bila mpango ni mawazo batili.
 
Hata mimi nilikuwa najiuliza kama waziri anaweza kuamrisha mtu akamatwe!
Nilijua haya mamlaka anayo Mh. Rais, Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya.
Hata kama kweli angekuwa mvamizi wa ardhi unafahamu kwamba waziri hana mamlaka ya kuamrisha polisi kumkamata mtu??
 
Wote pale ni wahalifu. Wapo maelfu.
Kukawa na presidential order ya kuhakiki na kumega hifadhi ya serikali ili hao wavamizi wapewe bipande vya ardhi na tittles.
Yeye tajiri na wenzake wengine hawataki vipande, wana ardhi kubwa, ukiambiwa ujieleze unaleta lugha zisizo za kistaarabu.
So, unarudi kuwa mhalifu na utajieleza mahakamani for criminal trespass.
Mawazo kuwa uwanja wa taifa ni wa serikali basi tucheze bure bila mpango ni mawazo batili.
Cut the crap, huu unaondika hapa ni upuuzi, katika sheria za nchi hii hakuna kosa linaloitwa lugha zisizo za kistaarabu.
 
Yes.
Ni dharau na umeshaonywa.
Dharau iko wapi pale?
Pia wewe ni mvamizi wa eneo la serikali, inatakiwa uwe mnyenyekevu. Ukileta dharau, unaweza kuwa charged gor criminal trespass, yaani ulinuia huku ukijua.
Kwahiyo kawa charged sababu ana dharau? Asingekuwa na hizo unazoita dharau asingekuwa charged na hayo makosa ya kuvamia ardhi?
Huoni unavyoandika upuuzi
 
Silaha yupo kama wale Hamas ubabe wa kizamani.. Lawama kwa Mama tu... akimuacha madarakani mtu asiye na busara... wewe kama umekuta ufisadi sehemu chukua hatua na sio kuonesha maigizo ambayo hujui kuigiza yaani unashangaza uma
 
Upinzani jifunzeni kuwa na ndimi laini Kwa viongozi wenu
Hapo ndiyo huwa siwaelewi..mtu akijitambua eti ni wa chama cha upinzani...halafu unasitasita nini nyoosha maelezo kwamba ni wa CHADEMA ndiyo unaowalenga,hapo lugha gani ngumu jombaa mtu ameongea hapo kiasi cha kumfanya ahesabike mkosaji??
 
moyoni kabisa, jerry anajua amefanya jambo la kipumbavu kabisa tena kwa mtu aliyemzidi umri na mpiga kura wa samia. yapasa aombe radhi, ama la jambo hili litamtafuna muda mrefu sana.
 
Wala jamaa Hana kosa, kisa eti kubishana nae tu, hii nchi watu wanajiona miungu watu sana
Hata hajabishana,kamwambia usinipe hotuba jamaa kajibu kwa kusema si ndio nakweleza.
"Ocd kamata huyu"
Km alivyosema mtoa mada,mkuu wa mkoa na wilaya wanaweza fanya hivyo.
Uwaziri unamzidi kimo,arudishwe huko kwenye ukuu wa wilaya na mkoa ili atoe amri vizuri wananchi kukamatwa wakitoa maelezo
 
Vifungu vya 7 na 15 vya Sheria ya Tawala za Mikoa ya mwaka 1997 imempa mamlaka Mkuu wa mkoa kuweka Mtu mahabusu Kwa masaa 48 (kif.7). Mkuu wa wilaya sheria imemruhusu kumweka Mtu ndani Kwa masaa 24 (kif.15) pale inapothibitika Mtu Huyo anàhatarisha Amani ya mbele yake.

Nimejaribu kuisoma sheria hiyo yote lakini sijaona kifungu kinachompa Waziri yeyote mamlaka ya kumweka Mtu mahabusu. Lakini ni kawaida nchini na jana tu Waziri wa Ardhi Jerry Slaa akiwa Kihonda Morogoro aliamuru mwananchi akamatwe na OCD na kuwekwa ndani Kwa kutoa maelezo Kwa kirefu wakati Waziri alimtaka atoe Kwa kifupi.

Kabla ya kutoa amri hiyo alimkatisha Msemaji na kumwambia hataki hotuba anataka majibu kitu ambacho mzungumzaji alishindwa na kuendelea kutoa maelezo na hivyo kumuudhi MHESHIMIWA WAZIRI na kuamuru akamatwe na OCD mara moja.

Swali langu Nataka kujua kama kuna sheria nyingine tofauti na nikiyoitaja inayompa Waziri mamlaka ya kuweka watu mahabusu kadri wanavyojisikia.

Fikiria OCD mzima naye hajui kuwa waziri hana mamlaka ya kumuamrisha lakini anakubali. Polisi anatakiwa kufahamu sheria na kuwa na uwezo wa kukataa maagizo yanayokinzana na sheria za nchi.
 
Back
Top Bottom