Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni upinzani?Upinzani jifunzeni kuwa na ndimi laini Kwa viongozi wenu
Huwenda anatumika bila kujuaHuyo ni upinzani?
Dharau gani emeleta?Jamaa hajui kuongea na authority.
Umevamia eneo, unaulizwa swali unaanza kupiga chenga na kuleta madharau.
Mimi naona Jerry Slaa yupo sawa. Imevamia eneo la serikali, utakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Cha ajabu ni nini hapo?
vinaja wanalewa madaraka na wanakuwa na viburi utafikiri watafia humohumo kwenye madaraka. hata sijaelewa mwananchi huyo amekosea nini, kuzarauliwa hivyo mbele za watu, na huyo jerry, who is he na kwa mamlaka gani anasema OCD aondoke na yule jamaa? amekosa nini, na yeye ana mamlaka gani kisheria kuamuru mtu asiye na kosa akamatwe?Katika hili tukio ambapo waziri wa ardhi Jerry Silaa anaamuru OCD kumkamata mzungumzaji kosa la anayezungumza ni nini?View attachment 3042185
hiyo authority, wala sio authority, mwenye authority hapo ni mwananchi, jerry hata hilo shati kavaa kwa kodi za hao wananchi, na aliyemteua ameweka madarakani na hao wananchi. kwanini hampi nafasi ya kusikilizwa ili atatue tatizo?Jamaa hajui kuongea na authority.
Umevamia eneo, unaulizwa swali unaanza kupiga chenga na kuleta madharau.
Mimi naona Jerry Slaa yupo sawa. Imevamia eneo la serikali, utakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Cha ajabu ni nini hapo?
nina uhakika, aliko huko,kwa umri wake ukilinganisha na huyo mwananchi, akiona hii clip atajisikia vibaya sana, kwasababu hategemewi abehave namna hiyo. inawezekana kichwa kilichoka, si unajua sometimes ukichoka emotions zinapanda, ila hata yeye mwenyewe anajua amefanya upumbavu.Wanasema Boss hakosei...Kibongo bongo n Haramu kubishana na Boss mbele za watu
Aelekezwe siyo kutumia ubabe si wote wenye ufahamu wa kujua kiongozi anataka niniWaswahili maneno mengi hatujuhi tunalolitaka! Go to the point! Sio kutoa hotuba!