Jerry hakua mtu wa kukaa kwa office achaa uwongo, Jerry alikua anaonekana full time yuko site kutatua migogoro ya Aridhi, ndiyo maana hadi Mama kapenda ubunifu wake wa zile clinics zake za Aridhi, na kweli matapeli wa Aridhi kila wakisikia Jerry leo ana clinic eneo lao,basi matumbo ya kuhara yanawashika ghafla, na mwamba akija kweli anapita nao matapeli wote! MUNGU amtangulie kwa kila jambo Muheshimiwa Jerry, kawasaidia wanyonge wengi sana waliodhulumiwa na matapeli wa Aridhi!!