Sasa Kama mna shida ya pesa si mrudishe Kodi ya kichwa kwa yoyote yule anaeishi na kuingia DSM!!Pesa zimeibiwa Sasa zichukuliwe kutoka wapi? Jerry ana hoja kumbuka hiyo ni specific Kwa Dar tuu.
Pia Vyanzo vingine sio sustainable,kama Sumbawanga wananunua bei kubwa kuliko Dar Kwa nini Dar msinunie bei sawa na wao tena Kwa faida yenu?
Aisee!Hata wakifahamika hicho sio chanzo sustainable kwani ukimkamata Leo ndio utapata pesa? Keshazila
Hii ni aibu kuwa na watu wa aina hii nchini TanzaniaHao ni wabunge wa mwendazake,hata wao wanashangaa kuwa wabunge.
Ninakuwa na mashaka makubwa sana juu ya uraia wa hawa watu.Wabunge wa ccm hawanaga uzalendo, hasa ukichukulia hao wabunge wa magufuri ambao hata uwepo wao hapo bungeni na wao huwa wanashangaa wamefikaje fikaje hapo... wabunge walioteuliwa na kichaa lazima na wao wawe vichaa vichaa tu... Hv mafuta yakipanda bei unategemea vitu vishuke bei kweli??? Alafu unayakuta eti yamevaa na skafu yenye nembo ya bendera ya Taifa... majizi matupu
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Lita million 3 kwa mwaka siyo sahihi.Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam.
Jerry Silaa amesema amesema Jiji la Dar es Salaam linatumia zaidi ya Lita milioni 3 kwa mwaka ambazo zinaweza kuwezesha Jiji la Dar kupata Bil. 130 Kwa mwaka ambazo zitatumika kujenga Miundombinu ya Barabara ndani ya Jiji Hilo.
Aidha Slaa amesema Tsh 100 itakayoongezwa italeta msawazo wa bei na maeneo mengine ya Nchi ambayo yananunua mafuta Kwa bei kubwa sana, akisema formula yake ataiwasilisha Kwa Waziri wa Tamisemi na Wizara ya Fedha.
My Take: Jerry Silaa ana Hoja ya msingi na asikilizwe, nimeipenda ubunifu wake sio Kila kitu kusubiria mikopo.
Ana logic kwa kweli! Vipi kuhusu tozo za simu na miamala? Nadhani nazo tuwasukumizie wa Dar.Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam.
Jerry Silaa amesema amesema Jiji la Dar es Salaam linatumia zaidi ya Lita milioni 3 kwa mwaka ambazo zinaweza kuwezesha Jiji la Dar kupata Bil. 130 Kwa mwaka ambazo zitatumika kujenga Miundombinu ya Barabara ndani ya Jiji Hilo.
Aidha Slaa amesema Tsh 100 itakayoongezwa italeta msawazo wa bei na maeneo mengine ya Nchi ambayo yananunua mafuta Kwa bei kubwa sana, akisema formula yake ataiwasilisha Kwa Waziri wa Tamisemi na Wizara ya Fedha.
My Take: Jerry Silaa ana Hoja ya msingi na asikilizwe, nimeipenda ubunifu wake sio Kila kitu kusubiria mikopo.
Kuna wabunge wa ajabu sana..Wangedhibiti upigaji,
Hiyo bil. 130 Ni pesa dogo Sana[emoji1]
Mapaka hayoYaani wapige maela zaidi ya hizo kila mwaka halafu eti waseme tozo iwekwe kwenye mafuta kupata hela ya kujenga miundombinu, hivi hawa wabunge wamelaaniwa au...
Wanatafuta upenyo mwingine wa kuibaHizo walizokwiba hazitoshi