Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ukiongeza sh.100 ni lazima bei itaongezeka? Soko la Dunia likishuka yatapungua na mia hutoona impacts yeyote.
Nimecheka sana..Yaani wapige maela zaidi ya hizo kila mwaka halafu eti waseme tozo iwekwe kwenye mafuta kupata hela ya kujenga miundombinu, hivi hawa wabunge wamelaaniwa au...
Nae pia hatumuhitaji kakaa jimboni na hakufanya la maana tutampata mbunge anaejielewa muda ukifika ila sio Slaa... 2025 mrudisheni Mwita!
Ana hoja asikilizweYule dogo naye si bwabwa tu mshika ukuta, anaongea anabana pua iongezwe 100 kwenye mafuta...
Govt iko bize kuhangaika bei inashuka yeye na upinde wake anataka iongezwe 100 son of the b***
Loss kutoka wapi wewe bwawaDo you think the cost of transportation will be the same? Hiyo ni loss and no body will be willing to bear the consequences hence this will be shifted to final consumer.
Kwanini isikatwe kwenye posho za wabunge ?Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam.
Jerry Silaa amesema amesema Jiji la Dar es Salaam linatumia zaidi ya Lita milioni 3 kwa siku ambazo zinaweza kuwezesha Jiji la Dar kupata Bil. 130 Kwa mwaka ambazo zitatumika kujenga Miundombinu ya Barabara ndani ya Jiji Hilo.
Aidha Slaa amesema Tsh 100 itakayoongezwa italeta msawazo wa bei na maeneo mengine ya Nchi ambayo yananunua mafuta Kwa bei kubwa sana, akisema formula yake ataiwasilisha Kwa Waziri wa Tamisemi na Wizara ya Fedha.
My Take: Jerry Silaa ana Hoja ya msingi na asikilizwe, nimeipenda ubunifu wake sio Kila kitu kusubiria mikopo.
Posho ndio itatosha kupata pesa ya kujenga Barabara?Kwanini isikatwe kwenye posho za wabunge ?
Mkuu unataka kuliaminisha jamvi hili kua walioiba pesa tayar wamekimbia Nchi pamoja na hizo pesa? Report ipo very specific na wahusika wapo so kwann wasirudishe pesa then mengine yaendelee? Haiwezekan kuendelea kuwanyonya wananchi na hali ya maisha ni ngumu huku pesa wanazochangishwa wananchi zinaenda kuibiwa!!Pesa zimeibiwa Sasa zichukuliwe kutoka wapi? Jerry ana hoja kumbuka hiyo ni specific Kwa Dar tuu.
Pia Vyanzo vingine sio sustainable,kama Sumbawanga wananunua bei kubwa kuliko Dar Kwa nini Dar msinunie bei sawa na wao tena Kwa faida yenu?
Watashughulikiwa ila pendekezo la Mbunge lizingatiweMkuu unataka kuliaminisha jamvi hili kua walioiba pesa tayar wamekimbia Nchi pamoja na hizo pesa? Report ipo very specific na wahusika wapo so kwann wasirudishe pesa then mengine yaendelee? Haiwezekan kuendelea kuwanyonya wananchi na hali ya maisha ni ngumu huku pesa wanazochangishwa wananchi zinaenda kuibiwa!!

Nimepata mashaka san juu ya hili, yaezekana ni mmoja wa waliopiga dili ama ni mnufaika wa dili!!Watashughulikiwa ila pendekezo la Mbunge lizingatiwe
Unapoongea na wakubwa uwe na heshima kidogo hata kama wewe ni Mwigulu Nchemba lakini huna akili kabisa kwa sababu unaamini katika tozo ambazo hazina faida kwa nchi yetu.Wewe ni mbumbumbu na mjinga wa Hali ya Juu,unaishi wapi kabla sijajisumbua kujibu upuuzi wako.
Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam.