Jerry Silaa: Serikali iweke Tozo ya Tsh. 100 kwenye mafuta yanayonunuliwa Dar ili Kupata Pesa za Kujenga Barabara za Jiji

Yule dogo naye si bwabwa tu mshika ukuta, anaongea anabana pua iongezwe 100 kwenye mafuta...
Govt iko bize kuhangaika bei inashuka yeye na upinde wake anataka iongezwe 100 son of the b***
 
Kwani ukiongeza sh.100 ni lazima bei itaongezeka? Soko la Dunia likishuka yatapungua na mia hutoona impacts yeyote.

Do you think the cost of transportation will be the same? Hiyo ni loss and no body will be willing to bear the consequences hence this will be shifted to final consumer.
 
Yaani wapige maela zaidi ya hizo kila mwaka halafu eti waseme tozo iwekwe kwenye mafuta kupata hela ya kujenga miundombinu, hivi hawa wabunge wamelaaniwa au...
Nimecheka sana..

Eti wamelaaniwa au!!!!
 
Yule dogo naye si bwabwa tu mshika ukuta, anaongea anabana pua iongezwe 100 kwenye mafuta...
Govt iko bize kuhangaika bei inashuka yeye na upinde wake anataka iongezwe 100 son of the b***
Ana hoja asikilizwe
 
Do you think the cost of transportation will be the same? Hiyo ni loss and no body will be willing to bear the consequences hence this will be shifted to final consumer.
Loss kutoka wapi wewe bwawa
 
Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam.

Jerry Silaa amesema amesema Jiji la Dar es Salaam linatumia zaidi ya Lita milioni 3 kwa siku ambazo zinaweza kuwezesha Jiji la Dar kupata Bil. 130 Kwa mwaka ambazo zitatumika kujenga Miundombinu ya Barabara ndani ya Jiji Hilo.

Aidha Slaa amesema Tsh 100 itakayoongezwa italeta msawazo wa bei na maeneo mengine ya Nchi ambayo yananunua mafuta Kwa bei kubwa sana, akisema formula yake ataiwasilisha Kwa Waziri wa Tamisemi na Wizara ya Fedha.

My Take: Jerry Silaa ana Hoja ya msingi na asikilizwe, nimeipenda ubunifu wake sio Kila kitu kusubiria mikopo.

Kwanini isikatwe kwenye posho za wabunge ?
 
Pesa zimeibiwa Sasa zichukuliwe kutoka wapi? Jerry ana hoja kumbuka hiyo ni specific Kwa Dar tuu.

Pia Vyanzo vingine sio sustainable,kama Sumbawanga wananunua bei kubwa kuliko Dar Kwa nini Dar msinunie bei sawa na wao tena Kwa faida yenu?
Mkuu unataka kuliaminisha jamvi hili kua walioiba pesa tayar wamekimbia Nchi pamoja na hizo pesa? Report ipo very specific na wahusika wapo so kwann wasirudishe pesa then mengine yaendelee? Haiwezekan kuendelea kuwanyonya wananchi na hali ya maisha ni ngumu huku pesa wanazochangishwa wananchi zinaenda kuibiwa!!
 
Watashughulikiwa ila pendekezo la Mbunge lizingatiwe
 
Wewe ni mbumbumbu na mjinga wa Hali ya Juu,unaishi wapi kabla sijajisumbua kujibu upuuzi wako.
Unapoongea na wakubwa uwe na heshima kidogo hata kama wewe ni Mwigulu Nchemba lakini huna akili kabisa kwa sababu unaamini katika tozo ambazo hazina faida kwa nchi yetu.
 
Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam.

Jerry Silaa amesema amesema Jiji la Dar es Salaam linatumia zaidi ya Lita milioni 3 kwa siku ambazo zinaweza kuwezesha Jiji la Dar kupata Bil. 130 Kwa mwaka ambazo zitatumika kujenga Miundombinu ya Barabara ndani ya Jiji Hilo.

Aidha Slaa amesema Tsh 100 itakayoongezwa italeta msawazo wa bei na maeneo mengine ya Nchi ambayo yananunua mafuta Kwa bei kubwa sana, akisema formula yake ataiwasilisha Kwa Waziri wa Tamisemi na Wizara ya Fedha.

My Take: Jerry Silaa ana Hoja ya msingi na asikilizwe, nimeipenda ubunifu wake sio Kila kitu kusubiria mikopo.

Huyu boya kabisa hajui mafuta ndio kila kitu ukiongeza bei maana yake kila kitu kinapanda bei maana bidhaa zote zinasafirishwa kwa magari.
 
Back
Top Bottom