Jerry Slaa aanza kulewa madaraka , adai watakaoshindwa kutatua migogoro ya ardhi atawatatua wao

Jerry Slaa aanza kulewa madaraka , adai watakaoshindwa kutatua migogoro ya ardhi atawatatua wao

Aliemchagua na aliechaguliwa hakuna tofauti ni zile zile utafune umumunye zinayeyuka
 
Ndio kama tulivyosema hapo awali kwamba , usimpe mtu cheo kutokana na uchawa wake , ni vema ukiangalia rekodi yake .

Aliyeshindwa Umeya unampaje Wizara ?

Hata wiki haijaisha , kishaanza kashfa na matusi !

View attachment 2739682

View attachment 2739683
Hakuna baya alilosema, Maafisa ardhi wengi ni wala rushwa, wanapora ardhi kwa ubabe wakishirikiana na madc na maded ningeshauri ikiwezekana aweke namba zake za simu tumwandikiwe moja kwa moja yeye awashughulikie hao wahuni
 
Bora muambiwe kweli.si mmetoka kupandishiwa salary's juzi tu. Piga kazi
 
Hizi takataka mbona zinaona kutumia lugha za kibabe ndiyo kutenda kazi? Stupid! Why such language. Sema nitawawajibisha ambao hawatatatua kero za ardhi
 
Back
Top Bottom