Jerry Slaa aanza kulewa madaraka , adai watakaoshindwa kutatua migogoro ya ardhi atawatatua wao

Aliemchagua na aliechaguliwa hakuna tofauti ni zile zile utafune umumunye zinayeyuka
 
Hakuna baya alilosema, Maafisa ardhi wengi ni wala rushwa, wanapora ardhi kwa ubabe wakishirikiana na madc na maded ningeshauri ikiwezekana aweke namba zake za simu tumwandikiwe moja kwa moja yeye awashughulikie hao wahuni
 
Bora muambiwe kweli.si mmetoka kupandishiwa salary's juzi tu. Piga kazi
 
Hizi takataka mbona zinaona kutumia lugha za kibabe ndiyo kutenda kazi? Stupid! Why such language. Sema nitawawajibisha ambao hawatatatua kero za ardhi
 
Kwanini mjuhangaishe kutabiri wakati mnamjua aliyemuweka ni wa aina gani. Au mnajisikia raha tabiri zenu zinaposhindwa?
Hatujawahi kushindwa kwenye tabiri , fuatilia uone nani aliwahi kupona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…