Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kama ni TanRoads sishangai, ngoja nilifuatilie vizuri ingawa kiukweli nikionesha Daraja la Bil.1 utashangaaWarudishe chenji!
Value for money inakataa
Dunia simama nishuke[emoji24][emoji24][emoji24]Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.
Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.
Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya maendeleo kwa bei nafuu.View attachment 2786231
Hii ni Tanganyika![emoji2827][emoji848][emoji2827]Tanzania Hii Hii
Nimeangalia kule kwenye account yake,hii habari imeondolewa 😂😂😂😂Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.
Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.
Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya maendeleo kwa bei nafuu.View attachment 2786231
Ni milioni 17, hapo hakuna bilioni, tumepigwa tena.Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.
Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.
Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya maendeleo kwa bei nafuu.
View attachment 2786231
Milioni 17 unayosema nakataa ni ndogo, ila pia kamwe haiwezi fika bil 17!.Ni milioni 17, hapo hakuna bilioni, tumepigwa tena.
Nimesema tu kwani kwa macho ni kama mita 30 kwa 12 hivi, sisi tunabishana wenyewe wanatabasamu.Milioni 17 unayosema nakataa ni ndogo, ila pia kamwe haiwezi fika bil 17!.
Ilitakiwa tuwe na sheria KALI za kushughulika na wahuni kama hawa wanaotupiga mchana kweupee kana kwamba Watz wote ni mafala!!.
Pia msisahau kua shilingi imeshuka sana thamani,mkitaka kujua chukua hiyo B 17 alafu convert kwenye dola uwone vidola vichache sana utapata!!Warudishe chenji!
Value for money inakataa