Jerry Slaa akagua daraja la Bilioni 17 jimboni kwake

Hii source ya habari ina mafua. Itakuwa milioni 17
 
Wew ni bonge la Fala kweli ukomo wa rais unaishia wapi ,kama rais anateua kila mtu haoo watu wanawajibika kwake moja kwa moja
 
Wew ni bonge la Fala kweli ukomo wa rais unaishia wapi ,kama rais anateua kila mtu haoo watu wanawajibika kwake moja kwa moja
Wewe ndio fala,Kwa hiyo Kwa kuwa wanateuliwa na Rais basi Rais atajuweoo Kila mahala waliko Kuwasimamia si ndio? Kuwa na akili usiwe mpumbavu.

Ndio maana Kuna haja ya kubadili sheria ya local government Ili Baadhi ya ngazi asisubiriwe Rais,Daraja linajengwa Malinyi huko Rais yupi atakuja kukusimamia huko badala ya nyinyi wanufaika na wenye Mali?
 
just imagine waziriii anaingizwaa king kifalaa hiviii... ndo maana MAGU atabaki kuwa kiongozi best miaka yote
Siku Moja Mtanikumbuka, Na Mimi najua Mtanikumbuka Kwa Mazuri na Sio Kwa Mabaya - Hayati Rais Magufuli.


Your browser is not able to display this video.
 
Material ya ujenzi yamepanda sana kutokana na kupaa kwa dola! Wwe fikiria ukiwa na ka dola mia tu unapewa karibu laki tatu za kitanzania!!
Ondoeni akili za kushikiwa dola inahusikaje hapo!?,Kuna kitu hapo kinakuwa imported!?,chuma,cement,vifusi,maji ,vibarua vyote inatumika Tshs. dola inatoka wapi hapo!?,waliojenga ni wachina nawajua wanalipana shilingi, dola zimetokea wapi??,wakati mwingine mfikirie kabla ya ku comment. Hakuna kilichokuwa imported hapo. Dola inahusishwa uki import material yoyote. Ni kama muuza mbao asingizie dola.
 
Chawa au kunguni,wanang'ata sana.Wewe mleta uzi,bila aibu unasifu,mbunge wako anachapa kazi,
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali afanye Ukaguzi wa value for money atuletee taarifa huru,tuone
 
Wananchi wenye hasira kali tukimpigia kelele za mwizi tutakuwa na makosa? au wanamaanisha kokoto bilion 17
 
Uzushi wa Machadema kumbe
 
Kwa uzoefu wangu wakufwatilia mambo hili daraja halizidi 650M Tsh ila kwasababu pia lina lami bac ni sawa kuwa 2B hv
 
Jana nimeona katika habari ya saa mbili usiku Dr Mwinyi akikata utepe uzinduzi wa hospital kubwa na ya kisasa iliyopo Unguja iliyogharimu jumla ya Tsh Bilioni 7 .

Sasa hapa nasoma zimetumika bilioni 17!.

Akilini yangu imekataa kuamini hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…