Jersey kama hizi nitazipata wapi wakuu?

Kama sio official kits utazunguka sana. Nimesoma hapo wamemark kama conceptual kits.

Jezi nyingi bongo zinakuja ni timu kubwa kubwa. Mfano spain utaona atm, madrid, barca, sevilla kwingine utasaka sana
 
Agiza online mimi nlihangaika sana kupata jersey ya Sampdoria ikabidi ni agize online
 
Uliagiza kupitia website gani? Na bei zikoje? Maana kama ni original kit ni kisanga kingine. [emoji1]

Natafuta sana uzi wa Bournemouth na Venezia.
Nli shop kwa kit supplier wao Macron kila kitu ilifika almost 250K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…