Jersey mpya za Yanga Africa SC msimu wa 2024/2025

Jersey mpya za Yanga Africa SC msimu wa 2024/2025

Miaka yote huwa nanunua uzi wa kijani ila safari hii napata shida kuchagua ninunue huo wa kijani au njano
 
Team dume tupo vizuri kwa kila kitu. Natoa pole kwa ile team jike.
 
Hutaki jinyonge
Simba ya 15 na yanga ya 4
 

Attachments

  • Screenshot_20240727_202658_Chrome.jpg
    Screenshot_20240727_202658_Chrome.jpg
    473 KB · Views: 1
Hizo nyota tatu wameweka kwa kipi hasa? Au ni kuamua tu unabandika nyota bila hata mafanikio ya kimataifa!
Huwezi kuelewa kwa sababu timu yako Haina makombe 30 na hauna medali ya kafu kama unayo tuoneshe Yanga unataka wapate mafanikio mara ngapi kimataifa kichaka chenu cha robo fainali kimefyekwa ongeza kilio ndugu ubwela fc tarehe 8 jiandae kizikwa Cc ephen_
 
Madesigner wameshachoka kudesign,jiezi Ina manamba namba halafu nyingine kama kitenge,oooiii.
 
Back
Top Bottom