Jesca Kikumbi "kitambaa cheupe Baa na Lilian Gumbo Liquid Baa, wadada wameamua kukimbiza biashara za Baa za kisasa

Jesca Kikumbi "kitambaa cheupe Baa na Lilian Gumbo Liquid Baa, wadada wameamua kukimbiza biashara za Baa za kisasa

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau.

Wadada wameamua kuleta ubishi kwenye biashara za Bar na wanakimbiza kweli kweli mifano hai ni jesca kikumbi mmiliki wa kitambaa cheupe former cabin crew wa fast jet na mwenzie Lilian Gumbo mmiliki wa Liquid Bar former police officer.

Hawa wadada waliamua kujiajiri kwenye biashara za bar na wamezimudu kweli kweli

Hongera kwao na ni vizuri watoe darasa kwa wadada wenzao wanaopenda biashara za vinywaji lakini hawazimudu. Vi glocery mitaani vya wadada vinafilisika daily.

Wadada wa kitambaa cheupe na liquid wanatumia mbinu gani kutoboa?

Wote ni wadogo kiumri ila balaa za bar zao ni kubwa sana kwenye miji tofauti.
 
Back
Top Bottom