TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Hii ni ngumu sana kwa mwanamke kumpa mbinu mwenzake ni haiwezekani.Wanawake washoka, watoe code kwa wadada wenzao
"... Utasikia kwani me ndo nimemleta mjini, apambane mwenyewe! "
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni ngumu sana kwa mwanamke kumpa mbinu mwenzake ni haiwezekani.Wanawake washoka, watoe code kwa wadada wenzao
hahahaha,dahHii ni ngumu sana kwa mwanamke kumpa mbinu mwenzake ni haiwezekani.
"... Utasikia kwani me ndo nimemleta mjini, apambane mwenyewe! "
Kupenda Kupika na kufungua biashara ya chakula ni vitu viwili tofautiMi natamani nifungue migahawa kama shishi vile, coz napenda kupika
Alifanya sahihi, brand hulindwaKitambaa cheupe uyo dada mchawi yaani alimfungulia case kaka ake kisa tu alianzisha bar nae akaita kitambaa cheupe
Msingi Kiuno, NyongaHao ni professional dangas, wameweka kabiashara chakuvutia wanunua uchi
Umemjibu vizuri sana...Kupenda Kupika na kufungua biashara ya chakula ni vitu viwili tofauti
Kibo Zone ni mwanaume na namfahamu vizuri sana. Labda hiyo KibbysMbona hata mmliki wa Kibo Zone na Kibbys hamuwapi maua yao?
Mara nyingi watu wakifanikiwa ndio huja na haya mawazo. Jaribu na wewe ushirikina kama unalipa.Niwashirikina sana hamtaamini
Mademu wa grocery ukienda ukimpa 50 TU fasterWadada wa vigrocery hawafiki mbali sabb wanakuwa kama wamejiegesha tu
Kigrocery kina bia 5 kuna kitu hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahYap akipata kichwa anafunga kabisa mpaka kesho tena jioni [emoji23]
Ukiweza, naomba na mie unipe hints.Mi natamani nifungue migahawa kama shishi vile, coz napenda kupika
50 nyingi sana hiyoMademu wa grocery ukienda ukimpa 50 TU faster
Yule wa mwanza kanunua jina tu,alikua anafanya voda hapo mwz miaka ya 2010 anaitwa mwanahela kma sikosei...alianza na uagent wa mpesa kwanza bdae ndio akafungua royol ovenYes.. yupo vizuri sana. Nimewahi muona Mwanza kwenye ile Branch yake pale mjini kati Karibu na EQUITY BANK kuacha ile ya Rock City Mall na ile ndogo ya Nyegezi Kona.