Jesca Kikumbi "kitambaa cheupe Baa na Lilian Gumbo Liquid Baa, wadada wameamua kukimbiza biashara za Baa za kisasa

Jesca Kikumbi "kitambaa cheupe Baa na Lilian Gumbo Liquid Baa, wadada wameamua kukimbiza biashara za Baa za kisasa

Wanamiliki izo wana mabwana wahindi na wazungu kuna mdada wa chuo tu mtaani alipata muhindi mmoja akafunguliwa HAKUNA MATATA PUB sjui kama bado ipo apo kinyerezi darajani
 
Pengine wameongwa vzr tu na kigogo wa serekalini kisha wakafungua bar na kusaidiwa kulipa kodi na makb mengine nchi ngumu na tamu pia
 
It all boils down to hardwork. Baa hiahitaji mtu lelemama uwe wakwanza kuamka na wa mwisho kulala kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa. ukisinzia unapigwa kwenye hesabu maana kuna mchezo wa kurudishia vinywaji ukaambiwa mauzo hamna.
 
Yes.. yupo vizuri sana. Nimewahi muona Mwanza kwenye ile Branch yake pale mjini kati Karibu na EQUITY BANK kuacha ile ya Rock City Mall na ile ndogo ya Nyegezi Kona.
Yule wa mwanza kanunua jina tu,alikua anafanya voda hapo mwz miaka ya 2010 anaitwa mwanahela kma sikosei...alianza na uagent wa mpesa kwanza bdae ndio akafungua royol oven
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
Back
Top Bottom