Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Rudia kusoma post yangu vizuri.
Sio kila mwanamke akibebwa hubebeka wengine wanakukojolea mgongoni.

Wanawake asilimia kubwa...rudia...sema asilimia kubwa wanaobebeka nchi hii ni wa kaskazini...wachaga

Asili yao ni biashara tangu tumboni mwao. Wanaweza kujenereti laki moja ikawa bilionz of money...+ wakibebwa kidogo wanabebeka sana...the rest ni majaliwa, ukimbeba showoff kibao na matanuzi makubwa kiasi kwamba kibebeo kinaishia kujikwatua.

Mimi sio mchaga, sina ukaribu nao but ni aina ya mbegu ya kipekee katika kutengeneza pesa.

Wanawake wa kichaga ni wajanja mnoo mbele ya pesa, wana midomo ya kuvuta pesa, so humble mbele ya pesa.

Akikutana na Mgogo kama wewe unaweza kuuza hadi pumbu umpatie pesa🤣🤣🤣🤣

Ukiiishiwa wala hakukumbuki hata jina lako, I know them in/out.

Hasa ukakuta mrembo wa kichaga ana ki grocery chake lazima atengeneze base ya wateja wake tena wenye majina.

Snakuwa na ki vip lounge/room maalum cha kukaa nao hadi usiku wa manane.

Wewe mgogo uliyezaliwa kwenye vumbi la Dodoma huwezi nielewa maana ndio ushamba unaanza kukutoka ( natania usi mind mkuu🤣)

Kwa kifupi Wachaga ni Waisrael wa Tanzania sawa na Kikuyu wa Kenya...hawa watu mimi nawajua mnoo.

Jesca kamwe hajafika pale peke yake..

But ...ninampa credit kwa kubebeka hilo nalo NENO
With due respect,Tutake radhi wagogo
 
$3000 kwa air hostess inawezekana ila kwa Fastjet sijui.

Betty Ajenta air hostess aliyeacha kazi Doha, Qatar na kwenda kufa njaa Shakahola kwa Pastor Mackenzie ilisemekana alikuwa anakunja $41,000/year baada ya miaka 11 kwenye ajira hiyo.
 
Mtu mwanamume akifika pahala akatamani kuwa ingekuwa vizuri kama angezaliwa mwanamke, ila anajuta kwa kuwa haiwezekani tena, hapo ujue amepigika!! Anawaonea wivu wanawake maana wao wana plan 2 katikati ya miguu yao!! Ushahidi wa Mpwayungu kutamani kuwa mwanamke huu hapa!! Kwa nini watu wasiamini kuwa huyu jamaa ni shoga?

View attachment 2709027
Nilijua mna msingizia aisee. Kumbe kuna watu wanatamani kubleed kila mwezi na kupigwa miti kinoma?
[emoji33][emoji33][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
$3000 kwa air hostess inawezekana ila kwa Fastjet sijui.

Betty Ajenta air hostess aliyeacha kazi Doha, Qatar na kwenda kufa njaa Shakahola kwa Pastor Mackenzie ilisemekana alikuwa anakunja $41,000/month baada ya miaka 11 kwenye ajira hiyo.
acha soga wewe, hakuna air hostess anaepata fedha hio kwa mwezi
 
Asikudanganye mtu kuwa hawa wafanyakazi wa kwenye ndege au wa airports wana mishahara mizuri.

Once my daughter worked at JKNIP alikimbia kisa pay iko chini,
mishahara yao ni midogo sana, wanachotegemea, kule wanakoenda kufikia, ni kudanga. ndio maana waliojaa mle wengi ni wanawake, na ukiona mwanaume ni shoga. kwa ulaya ipo hivyo, sijui kwa bongo.
 
Back
Top Bottom